Habari Kali
Loading...

KUMBE..!! MWANAJESHI WA JWTZ ALIYEUAWA NA WAASI WA M23 ALIKUWA MBIONI KUFUNGA NDOA NA MCHUMBA WAKE DESEMBA MWAKA HUU..!!

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >
 
Kauli hiyo  ilitolewa jana na kaka wa marehemu, Dk  Aziz Mlima
Dar es salaam.Askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), aliyeuawa kwa kupigwa risasi kwenye mpango wa Umoja wa Mataifa wa Kulinda Amani, katika  Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC, (Monusco), Luteni Rajab Ahmed Mlima, alikuwa katika hatua za mwisho za kufunga ndoa.
Askari huyo aliuawa katika  uwanja wa mapambano na vikosi vya wapiganaji wa Kundi la Waasi la M23, katika Milima ya Gavana, karibu na Goma, DRC- Congo wakati akitekeleza jukumu la ulinzi wa amani
Tunguli Rajabu,  mama wa ofisa wa JWTZ aliyeuawa katika misheni ya kulinda amani huko  Congo  DRC, Luteni Rajabu Mlima, akiwa mwenye majonzi  kutokana na msiba wa mtoto wake, nyumbani kwake Mbezi Beach Makonde jijini Dar es Salaam jana.Picha na Juliana Malondo . 
Akizungumza na gazeti hili, kaka wa marehemu Dk Aziz Mlima, alisema kuwa ndugu yake alikuwa tayari amekamilisha mipango yote na kilichokuwa kikisubiriwa ni siku ya kufunga ndoa hiyo.
“ Alikuwa yuko mbioni kufunga ndoa, lakini kwa sasa sitapenda kutaja jina la mchumba wake kwa kuwahayupo hapa lakini naye ni askari,” alisema Dk Mlima.
Alisema mwili wa marehemu unatarajiwa kuwasili nchini leo ukitokea Entebbe, nchini Uganda, ulikopelekwa kwa ajili ya uchunguzi wa kitabibu.
“ Utakapowasili utaendelea kuwa nchini ya jeshi na baadaye kupewa heshima za mwisho kesho na siku inayofuata yaani Alhamisi, tutakuwa na mazishi ya kifamilia alisema Dk Mlima.
JWTZ yatoa tamko
Kurugenzi ya Habari na Uhusiano ya Makao Makuu ya JWTZ, ilisema askari huyo alipigwa risasi wakati akiwalinda wananchi wasidhurike na mapigano kati ya Jeshi la Serikali ya DRC na wapiganaji wa Kundi la M23.
Taarifa hiyo ya JWTZ, ilisema Monusco inajipanga kuuleta mwili wa marehemu na wananchi watajulishwa taratibu za mapokezi, kuaga mwili na mazishi.
Ofisa huyo anakuwa wa pili wa JWTZ kuuawa katika mapigano nchini humo, baada ya hivi karibuni Meja Khatib Shaaban Mshindo, kuuawa kwa bomu katika mapigano makali yaliyotokea katika mji wa Goma, Agosti 28, mwaka huu.

Julai 13, askari saba wa Tanzania waliokuwa wakilinda amani katika mji wa Darfur nchini Sudan, waliokuwa katika mpango wa kulinda amani, waliuawa na kikundi cha Janjaweed.

-----MWANANCHI

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top