Habari Kali
Loading...

FLAVIANA MATATA AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUMBUKUMBU YA WALIOFARIKI MV BUKOBA

Waliofika kanisa katoliki la Mt. Francis, lililopo Nyakahoja-Mwanza, na kushiriki misa maalum ya kumbukumbu ya kuzama kwa meli ya Mv. Victoria. Misa ya kumbukumbu ikiendelea. Wakifuatilia misa ya kumbukumbu.
Wakiweka mauwa kwenye kaburi.Flaviana Matata akiongea neno.Sheikh akiomba dua maalum kwa ajili ya kuwakumbuka marehemu wa ajali ya meli ya MV. Bukoba....wakipiga picha ya pamoja kwenye kaburi....wakipiga picha ya ukumbusho.
Na Johnson James, Mwanza
ALFAJIRI ya Mei 21 mwaka 1996 – siku kama ya leo -- ni tarehe ambayo Tanzania ilipatwa na msiba mzito ambapo zaidi ya watu 600  walifariki baada ya meli ya MV Bukoba iliyokuwa ikifanya safari zake kutoka mjini Bukoba kwenda jijini Mwanza  kuzama katika Ziwa Victoria ambalo liko katika eneo la nchi za Kenya, Uganda na Tanzania.
Mwanamitindo maarufu nchini na duniani,  Flaviana Matata,  wakati wa msiba huo alikuwa na umri wa miaka minane,  alikuwa mmoja wa waombolezaji waliofika kwenye misa maalumu ya kuwaombea marehemu waliofariki katika ajali hiyo  alimpoteza mama yake mzazi meli hiyo ilipozama maeneo ya Bwiru jijini Mwanza  ikiwa na jumla ya abiria wapatao 800.
Katika misa iliyofanyika kwenye kanisa  Katoliki huko  Nyakahoja jijini Mwanza, mwana mitindo huyo wa kimataifa  amesema:  “Leo ni siku ambayo sitaisahau kwani ni siku ambayo mama yangu mzazi alifariki kwa kuzama majini na meli ya MV Bukoba  katika Ziwa Victoria hivyo niungane na wenzangu waliopoteza ndugu zao katika ajali hiyo ambao ilitwaa maisha ya Watanzania wengi.”
Aidha, katika misa hiyo iliyohudhuriwa na viongozi mbalimbali wa dini, wasanii  na vikundi mbalimbali kama Zalendo na Bongo Ride ambao wamewasha mishumaa kwenye makaburi  ya marehemu yaliyoko kitongoji cha Igoma jijini Mwanza.
Matata amesema kuwa anaiomba serikali kuhakikisha kuwa vyombo vyote vya majini vinakuwa salama ili kudhibiti ajali za majini  ambazo zimekuwa zikitokea mara kwa mara.
Flaviana aliongozana na dada yake, Grace Matata,  na mshindi wa Big Brother Africa, Sultan Idriss,  ambaye alikuwa kivutio cha wengi katika kumbukumbu hiyo.

Top 10 ya majina maarufu zaidi mwaka 2014 ni hii hapa mtu wangu !!

Names
Katika pita pita zangu mtandaoni nikakutana na hiki kitu, labda na wewe una mtoto mchanga, au unatarajia kupata mtoto hivi karibuni.. au unatamani kuwa na mtoto alafu umeshaandaa jina kabisa la kumpa akishazaliwa.
Hapa nimekutana na hii list ya majina ambayo baada ya kufanyika utafiti na kujua majina ambayo yalikuwa maarufu zaidi kwa mwaka 2014.. Top 10 ya majina waliyopewa watoto wengi waliozaliwa 2014 mtandao wa Baby Center umeitaja list hii hapa mtu wangu !!
Top 10 ya majina ya watoto wa kike ..
GIRLS NAMES
Top 10 ya majina ya kiume niko nayo hapa pia mtu wa nguvu..
Names

UNAPENDA KULA MISHKAKI?? HII NI MISHKAKI YA AINA YAKE HAIJAWAHI KUTOKEA..!! SOMA HAPA

026 
Kwenye vituo vingi vya daladala utakuta mida ya jioni wako jamaa wanachoma zao mishkaki.. na watu wamezoea kabisa unakuta watu wengi wamejipanga wanajisevia.. kua story ilitokea Temeke kwamba kuna jamaa alikuwa anatuhumiwa kwamba anauza mishkaki ya paka, ikamharibia biashara yake japo baadae iligundulika kwamba mishkaki haikuwa ya paka.
Philip Paul kagonga vichwa vya habari kwenye story za Nigeria, amesema yeye na familia yake ni walaji wazuri wa mishikaki ya chura na pia ni biashara yake inayomuweka mjini.. YES.. anauza mishkaki hiyo !!
_82445843_5_editedPhilip amesema shughuli ya kukamata vyura hao huwa anafanya usiku, anachotumia ni mikono tu.. wala haimpi shida sana kuwakamata.
_82479747_frogs976Hii ni biashara yake kubwa, unaambiwa kaianza toka mwaka 2008, sehemu ambayo huwa anawakamata sana vyura hao ni Jimbo la Adamawa, Nigeria alafu anawasafirisha mpaka Benue, huko nd’o ambako kuna soko kubwa la mishkaki hiyo.
_82444413_3_editedjpg
_82445849_pic_6_edited
_82446494_7_edited
Hapo mishkaki inakaushwa kwenye jua
_82446502_5b_edited3
Kazi inaendelea, hapa mishkaki iko kwenye moto.
_82454145_pic-3_1000_edited
_82446496_2_edited

MHHHH...!! HEBU TAZAMA HII PICHA ALAFU UNIAMBIE HAWA WASICHANA NI WA MKOA GANI..??

These ladies were spotted in a Party. Ulafi Nayo!!!

PICHA: HIZI NDIZO TATOO 5 ZA WASICHANA WALIZO JICHORA SEHEMU ZA MIILI YAO NA KUSHANGAZA DUNIA!

PICHA ZA WANAFUNZI WAKIJIRUSHA DARASANI BAADA YA KUMALIZA SHULE!

KWA WAZAZI TU: HUU NDIO UCHAFU WANAOFANYA WATOTO WENU WANAPOKWENDA CHUO KIKUU....!!

Laiti kama Wazazi wetu wapenzi wangeulizwa kuwa watoto wenu wameenda wapi..?Hakika wasingesita  kusema kwamba watoto wetu wameenda chuoni kusoma tena wako bize sana..WANGEJUA YANAYOFANYIKA HUKO NI KISANGA BASI HUENDA HATA WANGETOA MACHOZI...kama wangeona yanayotendeka kwa watoto wao "LIVE"... TAZAMA BAADHI YA MATUKIO KATIKA PICHA TU AMBAZO NIMEBAHATIKA KUTUMIWA NA WADAU WETU KATIKA VYUO MBALI MBALI HAPA TANZANIA.....CHECK OUT BELOW..
image

image
image

image
image
image

PICHA: HUYU NDIYE MWANAMKE ALIYEVUNJA REKODI DUNIANI YA KUWA NA MAZIWA MAKUBWA!







PICHA YA LEO: ANGALI HII PICHA, ALAFU ANDIKA CHOCHOTE KAMA COMMENT KWA MWANAFUNZI HUYU....!!


"MWANAFUNZI WANGU WA KIKE ANANITAKA KIMAPENZI.. KILA SIKU HUKAA MBELE TENA KIHASARA"...MWALIMU

Mimi ni mwalimu wa shule moja ambayo sitaitaja. mwezi uliopita mwanafunzi wangu wa kike ambaye yuko kidato cha tatu alinifuata na kuniambia anataka kunipa zawadi...

Sikuwa na hili wala lile, hivyo nilimwambia ni poa tu kama ameamua kunikumbuka mwalimu wake..

Zawadi aloniletea ilinifanya nishike kichwa maana sikutegemea.Yule mwanafunzi aliniletea chupi aina ya boxer 3 na tangu siku hiyo kila akiniona ananifanyia vituko mpaka ananikalia nusu uchi darasana nikiwa nafundisha kwa vile anakaa viti vya Mbele....

Nikiwa kama mwalimu, nimejaribu kutumia viboko ili kumuonesha kwamba sina mpango naye lakini bado imeshindikana..

Nifanyaje ndugu zangu? Maadili ya kazi yananibana.Hata hivyo, mwanao ni mwanetu sote.

HIVI HAWA DADA WANAPOPIGA PICHA KAMA HIZI HUWA WANAFIKIRIA NINI...???





Onyo! Picha hii haina maadili, Nadhani tumeelewana, Haya kama una umri wa miaka (18+)=> (((BOFYA HAPA)))

MMMHHH UNAPOPIGA PICHA KAMA HIZI NA KUZIWEKA MTANDAONI UNAKUWA UNATAFUTA NINI?? MCHEKI HUYU DADA


MAMBO YA BEACH YANATAKA MOYO, HAYA HUYU NAE AVUA NGUO HADHARANI AKIJIANDAA KUOGELEA..!!


Haya ni mambo ya kawaida sana pande fulani za beach, ukija pande hizi jiandae tu na habari kama hizikama ni mwepesi mwepesi unaweza ukazimia au hata ukapotesha masiha yako, watu wanamakusidi sana pande ndugu yangu. 

MWANFUNZI APIGA PICHA ZA KIMAHABA AKIWA DARASANI...MTAZAME HAPA, NI AIBU TUPU !



Hii picha ni ya mwanafunzi  wa shule moja nchini (jina tunalo) akiwa class na pozi lake matata,pamoja na nguo alizo vaa  ....je Ni sahii kwa wanafunzi wa siku hizi kuvaa nguo za namna hii haswa wanapokua madarasani.............?


ANDIKA CHOCHOTE KUHUSU HII PICHA HAPO CHINI ILI TUJIFUNZE KUTOKANA NA HII PICHA....

UKWELI KUHUSU PICHA NA VIDEO CHAFU ZA NGONO..!! Soma hapa kuujua na kupata ushauri...

Ukweli kuhusu picha za Ponografia na video zake

1: kila sekunde Karibia watu 30,000 hutazama ponografia kwenye intaneti.
 

2: kila dakika Watumiaji wa intaneti hutuma zaidi ya barua pepe MILIONI 1.7 za ponografia 


3: kila saa Angalau sinema MBILI za ponografia mbaya sana hutengenezwa nchini Marekani
 

4: kila siku Kwa wastani sinema MILIONI MBILI za ponografia hukodishwa nchini Marekani
 

5: kila mwezi Nchini marekani, karibu vijana wa kiume 9 kati ya 10 na wa kike 3 kati ya 10 hutazama ponografia 


6: kila mwaka Ulimwenguni pote biashara ya ponografia hupata faida ya dola za Marekani bilioni 100
 
Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top