Muungano wa wanafunzi umelaani sheria mpya iliyopitishwa na uongozi wa chuo kikuu cha Zimbabwe ambayo inapiga marufuku wanafunzi hao ‘kupigana mabusu’.
Taarifa iliyoandikwa na shirika la utangazaji Uingereza BBC, imesema kiongozi wa muungano wa wanafunzi Zimbabwe, Gilbert Mutubuki amesema wataungana kuipinga sheria hiyo kandamizi inayowanyima uhuru na kuwafanya wanafunzi hao wa chuo kikuu kulinganishwa na watoto wa chekechea.
Katika vipeperushi vilivyobandikwa sehemu mbali mbali chuoni hapo, vimeandikwa amri kuwa yoyote atakayekutwa katika mazingira ya kutatanisha kama vile kupigana mabusu ama kufanya mapenzi hadharani ataadhibiwa vikali.
Vile vile sheria hiyo imekataza wanafunzi kuwaingiza wenzao wa jinsia tofauti katika mabweni yao, pamoja na kuleta marafiki zao katika eneo la chuo ambapo wamesema ni sheria inayowanyima haki ya kujumuika na wenzao.
Wanafunzi wa vyuo vikuu nchini humo wamekuwa wakipingana na serikali mara kwa mara, ambapo kwa sasa kiongozi huyo wa wanafunzi amehimiza wanafunzi wenzake kuipinga sheria hiyo.
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >