Watanzania wanaoishi Afrika Kusini, wako hatarini kutokana na vurugu zinazofanywa na wenyeji wa nchi hiyo, dhidi ya wananchi wengine wa asili ya Afrika wanaoishi nchini humo.
Akizungumza
na mwandishi jana, Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Nchi, Mkumbwa
Ally, alisema Mtanzania mmoja amechomewa duka lake, huku wengine 15
wakiwa katika kambi maalumu, wakisubiri msaada wa kurejeshwa nyumbani.
Kwa
mujibu wa Mkumbwa, Ubalozi wa Tanzania unaendelea kukusanya takwimu za
Watanzania wanaoishi nchini humo na Serikali ya nchi hiyo imeandaa kambi
maalumu za kuhifadhi wageni wakiwemo Watanzania, ambao wamekuwa
wakifanyiwa fujo na watu wa nchi hiyo.
“Hao
Watanzania 15 ni wale ambao wako tayari kurudi nyumbani, sasa hivi
Serikali inashughulikia utaratibu wa kuwarejesha nyumbani.
“Kuna
dalili idadi ya walio tayari kurudi nyumbani ikaongezeka maana
inasemekana vurugu, mbali na kufanyika katika mji wa Durban, sasa
zinatarajiwa kuendelea katika jiji la Johannesburg,” alisema Mkumbwa.
Alisema
hali hiyo inatia wasiwasi na Tanzania inatarajia Serikali ya nchi hiyo,
itachukua hatua zinazotakiwa kuhakikisha usalama kwa Watanzania na watu
wa nchi zingine, wakati Serikali ya Tanzania ikijiandaa kuwarejesha
nyumbani wote watakaokuwa tayari.
Tayari
taarifa kutoka katika mitandao mbalimbali ya habari, zimeonesha kuwa
zaidi ya wageni 2,000 wenye asili ya Afrika wanaoishi nchini humo,
wamewekewa kambi katika Uwanja wa Mpira wa Rydalvale, kwa ajili ya
usalama wao.
Mmoja
wa maofisa kutoka Ofisi ya Meya wa Durban, Sipho Mthethwa, amenukuliwa
akisema wageni wengi wamepoteza mali zao na wana hasira na kazi
aliyonayo ni kuwashawishi wapunguze hasira na anafanya hivyo kwa
utaratibu.
Kwa sasa wageni hao wako katika makambi ambako kumewekwa maturubai huku wakihudumiwa na mashirika ya misaada.
Mthethwa
alisema zaidi ya mabasi 24 yanatumika kusafirisha wageni hao kwenda
katika kambi hizo, lakini tatizo wengi wamekuwa wakitaka kubeba mali zao
na kukaa nazo katika makambi, huku familia zikitaka kuwa pamoja.
Alisema
hali hiyo inamuwia vigumu, kwa kuwa taratibu za kambi za dharura,
wanawake lazima wakae eneo tofauti na wanaume na mali zao zitafuata
baada ya waathirika hao kupata eneo na kutulia.
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >