Habari Kali
Loading...

Ahukumiwa kunyongwa hadi kufa kwa kosa la KUUA.

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >
Sumbawanga. Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Sumbawanga, imemhukumu Malambi Lukwaja (47) Mkazi wa Kijiji cha Igalula, Tarafa ya Kabungu, Wilaya ya Mpanda Mkoa wa Katavi kunyongwa hadi kufa baada ya kupatikana na hatia ya kuua kwa kukusudia.
Lukwaja alikuwa akishtakiwa kwa kosa la kumuua Ibrahimu Juma (44), mkazi wa kijiji hicho kwa kumkata na shoka shingoni na kisha kuufukia ardhini mwili wa marehemu.
Hukumu hiyo ilitolewa na Jaji Mfawidhi, Kasukulo Sambo. Awali, Mwanasheria wa Serikali wa Mkoa wa Rukwa, Njoloyota Mwashubila alidai mahakamani hapo kuwa mshtakiwa alitenda kosa hilo Julai 9 mwaka 2009 katika muda usiofahamika.
Siku ya tukio, Ibrahimu (marehemu) alimuaga mkewe, Hamisa Hassan kuwa anakwenda nyumbani kwa mshtakiwa kuchukua magunia yake ya mpunga aliyokuwa akimdai mtuhumiwa baada ya kushindwa kumlipa pesa.
Mwanasheria huyo alieleza kuwa, tangu siku hiyo Ibrahimu hakurudi nyumbani hali iliyomfanya mkewe kupata shaka na kutoa taarifa kwa ndugu.
Baada ya ndugu kupata taarifa, walikwenda nyumbani kwa mshtakiwa aliyekiri kuwa Ibrahimu alifika nyumbani kwake na kuondoka salama. Hata hivyo, walimtilia shaka mshtakiwa na kwenda kutoa taarifa kituo cha polisi.
Baada ya kubanwa mke wa mshkatiwa, alikiri kuwa Ibrahimu aliondoka na mume wake kwenda shamba, lakini hawakurudi wote.
“Nilimuuliza mume wangu mwenzake (marehemu) yuko wapi, alinijibu kwa ufupi tena kwa ukali,” alisema mke wa mshtakiwa.
Wanakijiji waliamua kwenda shambani na kukuta sehemu imechimbwa na walipofukua walikuta mwili wa marehemu.
-MWANANCHI

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top