Habari Kali
Loading...

BETHIDEI YA BONGO MUVI: AISEE ACHA TU!, MASTAA WAVAA KIHASARA, WALEWA, WAZIMIKA.. SOMA ZAIDI HAPA

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >

Aisee! Pati ya ‘bethidei’ ya klabu ya mastaa wa filamu za Kibongo ya Bongo Movie Unity ya kutimiza miaka mitatu tangu ilipoanzishwa, ilikuwa noma sana kwani watu walijiachia balaa.
Mwenyekiti wa Bongo Movie Unity, Steven Mengere ‘Nyerere’ akizungumza machache mbele ya watu waliohudhuria.
Mpango mzima ambao ulishuhudiwa na Ijumaa Wikienda lililokuwa likirandaranda ndani ya nyumba, ulichukua nafasi kwenye Ukumbi wa  Arcade uliopo Mikocheni, Dar.
Pamoja na kufana lakini shughuli hiyo ilijaa vimbwanga vya mastaa ambao walidhihirisha kuwa yale wanayoigiza kwenye sinema ndiyo maisha yao halisi wanapokuwa mitaani.
Steve Nyerere akikata keki.
Baadhi ya mastaa wa kike walitia fora kwa kuvaa ‘vinguo’ vya kihasarahasara vilivyoacha nje sehemu kubwa za maumbile nyeti ya miili yao.
“Duh! Unajua baadhi ya mastaa hawa utadhani hawana wazazi, sijui wanaona kukaa utupu ndiyo ustaa?
“Hebu waangalie wanavyotudhalilisha sisi wanawake wenzao utadhani hawajazaliwa Tanzania, kwa nini wasibadilike?” alihoji mmoja wa mastaa wanaojua thamani yao.
Wasanii na mashabiki wao wakicheza muziki.
Katika mambo ya ulabu, wapo baadhi ya mastaa wa kike waliolewa hadi wakaanguka chini kama mizigo wakiwa wamevaa kihasara hivyo mambo ya chumbani kuonekana hadharani.
Kwa upande wa mastaa wa kiume, wapo waliolewa kupita maelezo lakini kituko kilikuwa kwa chipukizi ambaye alianguka chini mithili ya papai lililodondoka lenyewe mtini kutokana na kulewa tilalila.
Kwa upande wake, staa wa kike wa sinema, Salma Jabu ‘Nisha’ kwa mara ya kwanza alionekana akiwa amevaa kihasara kwani aliacha ‘nido’ zake nje, jambo ambalo lilizua mjadala midomoni mwa watu wakidai kwamba siyo kawaida yake kwani ni binti wa Kiislamu.
Wapo baadhi waliopendeza ambapo upande wa mastaa wa kike, Jacqueline Wolper aling’aa zaidi huku Jacob Steven ‘JB’ akikimbiza upande wa wanaume kwani alitupia bonge la suti na tai ya kipepeo cheusi.
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, ‘kaka mkubwa’ katika tasnia hiyo na mmoja wa wanahisa wa Bongo Movie Unity, Vincent Kigosi ‘Ray’ na mpenzi wake, Chuchu Hans waliingia mitini kwa kutotokea katika pati hiyo kiasi cha kuzua maswali kibao.
“Mhh! Hapa kutakuwa na namna, haiwezekani Ray na Chuchu wote waingie mitini,” alisema mmoja wa waigizaji ambaye aliomba hifadhi ya jina.
Mastaa wengine ambao licha ya kupewa mialiko hawakuhudhuria, ni Blandina Chagula ‘Johari’ na Wema Sepetu.

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top