Habari Kali
Loading...

BREAKING NEWS: BONDIA FADHILI AWADH AFARIKI DUNIA

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >



Bondia wa ngumi za kulipwa Fadhili Awadh amefariki dunia katika hospital ya mwananyamala baada ya kuugua kwa siku kadhaa. Fadhili awadh alikuwa ni miongoni mwa mabondia waliochaguliwa kucheza mpambano wa ubingwa tarehe 29 mwezi huu wa tatu dhidi ya mpinzani wake toka tanga Alan Kamote, hivyo pia alikuwa katika maandalizi ya mpambano huo. 

Sababu ya kifo chake kwa ripoti ya daktari wa mwananyamala kwa kiongozi wa ngumi Ibrahim Kamwe ni kuwa fadhili alikuwa na malaria na alitumia dozi ya metakelfin, na hali ilibadirika pale alipojaribu kufanya mazoezi na kujisikia vibaya na kuwahishwa katika hospitali hiyo ambayo alikaa kwa siku mbili akiendelea na matibabu na hatimae umauti ulipomkuta. 

Fadhili awadh mwenye umri wa maika 32 alikuwa anaendelea vizuri katika mchezo huo kiasi cha kufikia kucheza pambano la ubingwa katika ukumbi wa PTA sabsaba, akiwasindikiza mabondia japhet kaseba na Thomas mashali . sisi tulimpenda lakini mungu alimpenda zaidi ,Ailaze roho ya marehemu Fadhili awadh “tiger” peponi,shughuli za maazishi zinafanyika nyumbani kwao maeneo ya manzese.

credit: shafii dauda

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top