Habari Kali
Loading...

HAYA NDIO MAMBO 5 KUHUSU DIAMOND PLATNUMZ AMBAYO WATU WENGI HAWAYAFAHAMU...!!

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >

Katika mafanikio ya mtu maarufu,mengi husemwa na watu mbali mbali wengine,haswa pale msanii anapo-hustle kufanya kazi yake vizuri na hata kutambuika na fans wengi nje za nchi,hii yote inahitaji hard work,
kujituma bila ya kukata tama.Mafanikio ya msanii huwa yanapokelewa na watu tofauti kwa njia tofauti huku kila mtu anakuwa na lake la kusema,ila hizi ndizo tathmini zakushangaza zinazomuhusu Diamond Platnumz.



1. Huyu ndio msanii wa kwanza Tanzania kushika namba moja katika moja ya chart za muziki duniani, katika stesheni ya kimataifa ya Trace ya nchini Ufaransa,lakini huko atokako nchini Tanzania kuna baadhi ya chart za muziki katika media, hayupo hata kwenye top 5.



2.Ingawa inaonyesha wazi kuwa juhudi zake kimuziki ndio zinazofanya aweze ku-make headlines,kwa muziki wake kuzidi fanya vizuri hata kwa mataifa mengine yakigeni,baadhi ya watu wengi hapa tzee bado wanaamini kuwa muziki wake unahit kutokana na kuhonga kwake kwenye media ili nyimbo zake ziweze kupewa airtime.



3. Akiwa kama mmoja wa watu maarufu sana hapa Tzee,Diamond ni msanii mkubwa sana, ila maisha yake ya kimahusiano yanaongelewa sana kwenye media kuliko celebrity yeyote yule hapa Tzee.



4.Kwa umaarufu mkubwa aliokuwa nao kimuziki, huko nchini Nigeria na jinsi nyimbo zake zinavyopigwa mara kwa mara,haswa hii nyimbo yake ,remix ya Mynumber1 inavyozidi ku-make headline nchini humo na hata kwenye media nyingi za kimataifa,raia wengi wa nchini Nigeria wanadhani kuwa Diamond Platnumz ni raia wa nchini humo.



5.ukiongelea wasanii wanaojiweza hapa town kupitia muziki tu,diamond platnumz hutaweza kumwacha,cause ni msanii anayeongoza kwa kulipwa mkwanja mrefu sana katika show moja tu aifanyayo,jitihada zake kimuziki zimempelekea kuwa na utajiri mkubwa sana hapa town ila kuna baadhi ya mashabiki na watu wakawaida bado wanaamini kuwa huenda anajihusisha kuwa na madawa ya kulevya.

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top