Habari Kali
Loading...

HUU NDIO UCHAFU UNAOFANYWA NA WEMA SEPETU NA AUNT EZEKIELI...!! WATAZAME HAPA

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >
Uchafu! Picha za madiva wakubwa wa filamu Tanzania, Wema Isaac Sepetu na Aunt Ezekiel Grayson zimebambwa na gazeti hili hivi karibuni wakiwa katika hali ya kimalavidavi licha ya kwamba, mmoja ni mke wa mtu, mwingine mchumba.
Wema Isaac Sepetu na Aunt Ezekiel Grayson wakiwa kimalavidavi.
Kwa mujibu wa mnyetishaji wetu, ishu hiyo ilichukua nafasi maeneo ya Mikocheni jijini Dar es Salaam ambako Wema na Aunt wamepiga kambi kwa ajili ya filamu yao mpya ya Familia.
Ilidaiwa kuwa, Wema na Aunt ambao kwa sasa wapo ‘kloz’ kiasi cha watu kuwa na maswali vipi kuhusu Kajala Masanja, walipiga picha hizo wakidhamiria kuzifuta baada ya kujiona lakini lililotokea si akili zao, picha hizo zikanaswa na paparazi wetu.
...Wema na Aunt wakipozi kimahaba.
Juzi, Amani liliwatafuta kwa njia ya simu wawili hao na kuwauliza nini kiliwatia nguvu hadi kupiga picha hizo ambapo Wema anaonekana akibusu sehemu ya paji la uso la Aunt huku naye akiwa amelegeza macho kusikilizia.
Wema Isaac Sepetu.
Wema: “Unajua huyu Aunt ni mtu ambaye tumezoeana kupita kiasi, tunapomaliza kufanya kazi, tunaanza utani. Halafu kwetu mbona mabusu ni ishu ya kawaida sana!”
Habari za ndani zinasema, baadhi ya ndugu wa mume wa Aunt, Sunday Dimonte wamekuwa wakimtumia meseji ‘mista’ huyo kumweleza uchafu mbalimbali anaofanya mume wake licha ya kutotoa tamko lolote.
 Aunt Ezekiel.
Mbali na Dimonte, baadhi ya watu waliozungumza na Amani walimtaka Nasibu Abdul ‘Diamond’ kukaa chini na kufikiri upya kuhusu uamuzi wake wa kumuoa Wema. Wengi wanaamini si sahihi kwake kwa vile haonekani ‘kutulia’ licha ya kwamba wote ‘hawajatulia’

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top