Habari Kali
Loading...

JAMBAZI AFIA KWA MGANGA WA KIENYEJI MKOANI TARIME

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >
MKAZI wa Kijiji cha Kemakorere, Kata ya Nyarero iliyopo Tarafa ya Inchage, Tarime, Nchagwa Marwa Yusuph (35) aliyekuwa akisakwa kwa tuhuma za unyang’anyi wa kutumia silaha wilayani hapa, amekutwa amekufa nyumbani kwa mganga wa kienyeji alikokuwa akitibiwa majeraha. 

mganga
Hata hivyo, mganga huyo anayefahamika kwa jina la Marwa Wambura alifanikiwa kuwatoroka polisi waliovamia nyumba yake baada ya kuelezwa juu ya uwepo wa jambazi huyo.
Tukio hilo limethibitishwa na Kaimu Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Tarime/Rorya, Sweetbert Njewike.
Akizungumza ofisini kwake, alisema: “Tulipata taarifa kutoka kwa raia wema Ijumaa ya Machi 14 mwaka huu juu ya kuonekana kwa mtuhumiwa wa ujambazi wa kutumia silaha na wizi wa mifugo, Nchangwa Marwa Yusuph akiwa anatibiwa kwa mganga wa kienyeji Marwa Wambura katika kijiji cha Kemakorere.
“Waliomwona mtuhumiwa wanasema alikuwa anatibiwa majeraha ya kukatwa mapanga kichwani na sehemu mbalimbali za mwili. Na kweli, tulikwenda na kumkuta akiwa hoi kutokana na kuvuja damu nyingi, licha ya kuwa alifungwa kitambaa kichwani na kuwekewa dawa za mitishamba.
Alifariki muda mfupi baadaye wakati tukiwa katika harakati za kumpeleka hospitali ya wilaya.” Kamanda huyo aliongeza kuwa, walipofika kwa mganga huyo hawakumkuta, kwani aliwatoroka na kwamba msako mkali dhidi yake unaendelea ili akamatwe na kuburuzwa kortini kwa tuhuma za kuhifadhi wahalifu.

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top