Habari Kali
Loading...

MAPICHA: OMMY DIMPONZI ASIMULIA ALIVYOKUTANA NA HUYU MREMBO NA KUTENGENEZA NAE VIDEO

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >
Ommy Dimpoz amesema kabla hata ya kufahamu kuwa Sofia Skvortsova ndiye model atakayemtumia kwenye video yake, alikuwa amemuona na akatamani msichana kama yeye aonekane kwenye video hiyo.
e61e0e96a8e611e3bd540e4cd1fa8f5b_8
Ommy akiwa na Sofia Skvortsova
“Kwanza yule msichana wakati mimi natoka naelekea location, tupo kwenye taa hivi ambapo tunavuka taa ambazo ukizivuka unaelekea eneo la location nikawa namuona msichana yaani mzuri halafu nikawa nasema kimoyomoyo kwasababu nilikuwa sijamuona nikakutana naye location moja kwa moja, hatukukutana siku ya kwanza tukapanda, hapana, alikuja moja kwa moja siku ya kushoot,” Ommy ameiambia Bongo.
7cf829e4a60511e3a5b712a3de486cc5_8
Amesema baada ya kumuona Sofia alimwambia mshkaji wake kuwa anatamani msichana kama huyo awe kwenye video yake. Ameongeza kuwa siku ya kufanya video alipofika location akamkuta Sofia eneo hilo na kumchanganya zaidi Ommy.
“Baadaye Moe Musa ndio ananiita ananitambulisha ‘huyu ndio video model, sijui unamuonaje,” ameelezea Ommy. “Mimi nikamwambia, ‘mimi nimempenda sana’ mimi nilimuambia nataka msichana mzuri kulingana na uzuri wa nyimbo na maadhui ya nyimbo yalihitaji msichana mzuri.”
01
Ommy amesema kama mambo yakienda sawa anafikiria kumleta Sofia Tanzania siku ya uzinduzi wa video hiyo. Tangu amtambulishe kwenye Instagram, Sofia amepata followers wengi kutoka Tanzania. “Alipata followers wengi kutoka huku kwahiyo akashangaa sana halafu akaappreciate.”
Msikilize Ommy hapa:

SofiaSkvortsova20
Model huyo ni maarufu sana jijini London aitwaye Sofia Skvortsova. Sofia Skvortsova alizaliwa na kukulia Riga, Latvia. Ana asili ya Urusi, Ujerumani na Poland.
4f5dc3a8be437
Kazi yake ya umodel hufanyia jijini London hufanya kazi na mawakala wa mamodel. Amekuwa akifanya shughuli hiyo kwa zaidi ya miaka mitano barani Ulaya na Mashariki ya Kati. Ameshaonekana kwenye majarida kibao, filamu, matangazo na video za muziki.
Mfahamu zaidi kwa picha hizi:
03
4d7e9e7947e19

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top