Habari Kali
Loading...

UKIACHILIA MBALI BIFU LA DIAMOND NA ALLY KIBA..!! HUYU NDYE MSANII MWINGINE MAARUFU MWENYE BEEF KUBWA NA DIAMOND

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >
Husein machozi ndiye msanii mwingine mkongwe aliyetokea kufunguka juu ya msanii Diamond Platnumz,wamewahi kufunguka wasanii wengi ,ikiwemo msanii mkongwe maarufu Alikiba ,na msanii mwingine mchanga Dayna Nyange kwa madai kuwa Diamond alimuibia Beat yake nakuitumia kwenye track yake ya MyNumberOne, Husein Machozi  amefunguka nakuweka wazi kuwa hamkubali Diamond,na nyimbo karibia zote alizowahi ku-hit nazo ni zaku-copy na kupaste ,kutoka kwa wasanii wengine hasa wachanga ambao hawana sauti katika media, kutokana nayeye ameshajipatia umaarufu teyari,nakuzidi kukubalika na watu wa kila sector hasa kwenye media.
Hussein Machozi

Beef ya Husein na Daimond ilianza kipindi hicho wakati Diamond yupo bado katika harakati za kutafuta umaarufu na kushikilia level za juu,Diamond aliiba wimbo wake ulioitwa Haikai,nakuichukua kuibadilisha jina na kuiita kizaizai,moja ya nyimbo ambayo ilimpa umaarufu Diamond,nakumsaidia kumweka katika chart za juu kimuziki, “I am still one of the best artistes in the region, and that is why artistes such as Diamond had to sample my song and call it Kizaizai to become famous. I have actually recorded many songs that I will release soon; he should copy those, too”alisema Husein machozi akiwa anahojiwa na moja ya media ya huko nchini Kenya.

Ally Kiba na Dayna Nyange

Husein  alikiri kuwa , tatizo la wasanii wa siku hizi kama Diamond,ni kuiga mafanikio ya wasanii wakubwa wanchi za wengine,na kutaka kuibuka tu ghafla,kutaka kuishi kifahari  kama wao,bila kujua kuwa imewachukua miaka mingapi yakuhangaika katika game hadi kufikia hapo walipo.Alialisema tatizo la diamond ni kutaka kushikilia kwenye level ambazo haziwezi,na ndio maana karibia nyimbo zake zote amezikopi kutoka kwa wasanii wenzake wa Bongo fleva, ikiwemo Ngololo na Nataka Kulewa.

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top