Habari Kali
Loading...

UNYAMA...!! Auawa kwa kupasuliwa usoni na sururu

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >
WATU wawili wamekufa katika matukio mawili tofauti mkoani Kilimanjaro, huku mkazi wa Kirua Vunjo Martin Mtena (25) akipoteza maisha kwa kupasuliwa na sururu kwenye paji la uso.
Akizungumzia matukio hayo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Robert Boaz alisema tukio la kupasuliwa paji lilifanyika Machi 18, saa mbili usiku, katika eneo la Pumuani lililopo wilaya ya Moshi Vijijini. Kamanda Boaz alisema chanzo cha mauaji hayo ni ugomvi wa sabuni ya kufulia kati ya Mtena na rafiki yake Deo Pantaleo (45).
Alisema Mtena alichukua sabuni ya kipande ya rafiki yake kwa ajili ya kufua nguo, lakini mwenzake alimkataza kutumia sabuni hiyo, hali iliyozua ugomvi na kusababisha Pantaleo kuchukua sururu na kumpiga mwenzake usoni na kusababisha kifo papo hapo.
Katika tukio la pili, Kamanda Boaz alisema mtu aliyetambulika kwa jina la Johakim Massawe alikutwa amekufa nje ya nyumba ya Teresia Olomi mkazi wa Kibosho Umbwe, wilaya ya Moshi Vijijini.
Massawe alikutwa asubuhi ya Machi 18 wakati watoto wa nyumba hiyo wakienda shule, huku kando yake kukiwepo godoro ambalo linasadikiwa kuibwa.
Naye Samson Chacha kutoka Tarime ameripoti kwamba wakazi wawili wa vijiji vya Nyamwigura Kata ya Binagi, Matiko Ndege (45) na Chacha Fundi (30) mkazi wa Kijiji cha Nkende Kata ya Turwa tarafa ya Inchage wameuawa kwa kuchomwa na visu.
Pamoja na watu hao wawili kufa, Machugu Washington amelazwa katika Hospitali ya Wilaya akiwa na majeraha kwenye paja la mguu.
Taarifa ya Kamanda wa Polisi Tarime Rorya, Kamishina msaidizi Justus Kamugisha alisema watu hao walikumbwa na umauti katika matukio mawili tofauti.
Alisema Machi 17 mtuhumiwa Mwita Masala mkazi wa Kijiji cha Nyamwigura Kata ya Binagi aliwashambulia kwa visu Matiko Ndege na Machugu Washington.
Pamoja na watu hao kukimbizwa hospitalini, Matiko Johanes alikufa akipatiwa matibabu. Katika tukio jingine, Kamanda Kamugisha alisema Machi 17, mkazi wa Kijiji cha Nkende, Chacha Fundi(30) aliuawa kwa kuchomwa na kitu chenye ncha. Inadaiwa mauaji hayo yalifanywa na Mabaraka Kamkono kwa kupita karibu na nyumba yake.
Mtuhumiwa Kamkono alikamatwa na anatarajiwa kufikishwa mahakamani kujibu tuhuma za mauaji.

CREDIT: HABARI LEO

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top