Watu watatu wa familia moja, wakazi wa Kijiji cha Kwasunga wilayani Handeni wamekufa baada ya kula futari ya mihogo inayosadikiwa kuwa na sumu.Akizungumza na waandishi wa habari jana, kamanda wa polisi wa Mkoa wa Tanga, Constantine Massawe alisema tukio hilo lilitokea juzi saa 1:00 usiku eneo la Kwasunga Handeni na maiti zimehifadhiwa katika Hospitali ya Wilaya ya Handeni.Kamanda Massawe aliwataja waliokufa kuwa ni Juma Jumbe (6), Abdi Jumbe (10) na Ramadhani Jumbe (15). Pia alisema kuwa wazazi wa watoto waliwahishwa hospitali ambako walipatiwa matibabu na wanaendelea vizuri.
Kamanda Massawe alisema kwa mujibu wa wazazi wa watoto hao, walikula futari hiyo na baada ya kumaliza, walianza kujihisi vibaya sambamba na kuishiwa nguvu na alianza kuanguka mmoja baada ya mwingine.“Chanzo cha kifo ni futari ya mihogo ambayo kwa mujibu wa vipimo ilikuwa na sumu. Wazazi wao wako hai ila nao walikuwa katika hali mbaya, lakini baada ya kupatiwa matibabu wanaendelea vizuri,” alisema kamanda huyo.Kamanda huyo aliwataka wote walio katika mfungo kuichunguza mihogo wanayoinunua kwa ajili ya matumizi ya futari kwani baadhi haifai kuliwa na binadamu.Mhogo unajulikana vyema. Kama mtu ukiumenya na kuona una rangi za ajabu ajabu ndani, basi achana nao usiupike mingine haifai kuliwa na binadamu,” alisema Massawe. Alitoa wito kwa watu kuwa makini.
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >