Najua kuna stori nyingine huwa zinaandikwa alafu wahusika wakuu wanakuja kuziongelea baadae kwa kushangaa kilichoandikwa ambacho mara nyingi kinakua sio cha kweli.
Stori ya Wema kutopatana na ‘mama mkwe’ yaani Mama mzazi wa Diamond ni miongoni mwa stori ambazo kuna uwezekano umeshawahi kukutana nazo kwenye Magazeti au baadhi ya mitandao, stori ambazo zilianza kuandikwa tu baada ya mastaa hawa kurudi mapenzini.
Sasa kwenye exclusive na millardayo.com Wema anasema ‘Watu wanasikia vitu vingi hata kwenye Magazeti watu wanaandika vitu vingi hususani Waandishi huwa wanatengeneza ili tu kupata habari lakini hatuwezi kusema kila kitu kinachotuhusu sisi kila mtu anajua….. hapana, mbona mimi na mama tunapatana tuuuu’
‘Mbona mami ake wangu mieeeee…. mwenyewe ananiitaga chizi langu, kwa hiyo tuko okey sana, nadhani watu wanamawazo hayo kwa sababu Mama ni mama yake Naseeb na mwisho wa siku Naseeb anakua sometimes hivi sometimes vile yeye kama mama lazima asimame nyuma ya mtoto wake ila mama yuko okey, mama ni mchizi wetu.. kamanda wetu mwenyewe'
Unaweza kumsikiliza Wema akiongea hapa chini.
-millardayo
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >