Habari Kali
Loading...

AIBU..!! Baba Mzazi Ampachika Mimba Binti wake wa Miaka 17...

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >
MKAZI wa Kijiji cha Bwekela wilayani Igunga mkoani Tabora, Kashinje Shima, anatafutwa na Uongozi wa kijiji hicho, kwa kumpa ujauzito mwanawe wa kumzaa mwenye umri wa miaka 17.
Ofisa Mtendaji wa Kijiji cha Bwekela, ambaye pia ni Kaimu Ofisa Mtendaji wa Kata ya Igoweko, Robert Ruhende, alilaani kitendo kilichofanywa na mzazi wa mtoto huyo na kusisitiza kuwa sheria lazima ichukue mkondo wake.
 
Akisimulia kisa hicho, mke wa mkazi huyo ambaye pia ndiye mama mzazi wa mtoto huyo, Geni Njiro, alidai alibaini hali hiyo Julai 23 mwaka huu, baada ya mwanawe wa kiume kumfumania baba yake na dada yake.
 
Kwa sasa kwa mujibu wa Geni, mwanawe huyo ambaye inadaiwa amekiri kushiriki kitendo hicho, ana ujauzito wa miezi saba.
black
 
Geni alidai kabla ya kugundua kitendo hicho cha kinyama kilichokuwa kikifanywa na mumewe, alihisi kuwa baba wa mtoto huyo alikuwa akitumia mwanya wa yeye mama kutokuwepo nyumbani, kufanya vitu visivyo vya kawaida.
 
Alidai kuwa alipata hofu kuhusu mwenendo wa mumewe na mtoto wake siku moja walipokuwa shambani wakiendelea na shughuli za kuvuna mazao, ambapo mumewe aliaga kurudi nyumbani.
 
Kutokana na hofu hiyo, Geni alidai aliamua kumtuma mtoto wake mkubwa wa kiume, ambaye hakutaka kumtaja jina, akafuatilie nyumbani kupata uhakika wa kile alichokuwa akihofia.
 
Mama huyo alidai baada ya mtoto wake huyo kufika nyumbani, ndipo alikuta baba yake wakifanya ngono na mdogo wake na kurudi shambani na kumpa taarifa mama yake.
 
Baada ya taarifa hiyo, mama huyo alidai kuwa aliamua kuita ndugu wa pande zote mbili, kwa ajili ya kuzungumzia unyama huo, ambapo baba huyo alipohojiwa katika kikao hicho cha familia, alikana kuhusika na tuhuma hizo.
 
Hata hivyo, mama huyo alidai babu wa mtoto huyo, alishauri waende kupima hospitali kupata ukweli, ndipo baba huyo alipokubali kuwa anatembea na mtoto wake.
 
Baada ya kukubali, inadaiwa baba huyo alitakiwa kulipa adhabu ya faini ya ng’ombe wawili, ambao aliwalipa na suala hilo kuwa limekwisha. Mwenyekiti wa Kitongoji cha Mwina, Bundala Makelema, alikiri kuwepo kwa suala hilo.
 
Alidai kuwa wakati mtuhumiwa huyo akilipa adhabu ya kimila ya ng’ombe wawili, yeye alishiriki kwa nafasi yake ya Kiongozi wa Kitongoji.
 
Hata hivyo, inadaiwa familia anayotoka mama huyo, ilipinga uamuzi huo wa kifamilia na kumruhusu ndugu yao, kuchukua hatua zaidi, ikiwemo kutoa taarifa katika vyombo vya habari.
 
Taarifa hiyo ilipofika kwa Ofisa Mtendaji wa Kijiji cha Bwekela, ambaye pia ni Kaimu Ofisa Mtendaji wa Kata ya Igoweko, Ruhende ambaye aliahidi kwenda Polisi ili hatua zaidi zichukuliwe, mama huyo alidai ndipo mumewe alipoamua kutoroka nyumbani na kwenda kusikojulikana.

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top