Habari Kali
Loading...

ATESEKA KITANDANI MIAKA MITATU NI BAADA YA KUPEWA TAARIFA YA KIFO CHA BABA YAKE

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >
INASIKITISHA! Johanitha Robert Mulokozi (31) amekuwa kitandani kwa miaka mitatu kutokana na kuugua ugonjwa wa kupooza mwili mzima.Mama huyo mwenye mtoto mmoja amekuwa akisumbuka na ugonjwa huo uliomfanya akose raha licha ya kupata matibabu katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.
Johanitha Robert Mulokozi  amekaa kitandani kwa miaka mitatu kutokana na kuugua ugonjwa wa kupooza mwili mzima.
Akizungumza na waandishi wetu nyumbani kwake Nyan’gandu, Kivule, Ilala jijini Dar es Salaam, mama wa mgonjwa huyo, Valentina Emmanuel (51) alisema kwa miaka mitatu anashindwa kupata usingizi kutokana na kumuuguza mwanaye huyo na kukosa uwezo wa kumsafirisha kwenda India kwa matibabu.
Akisimulia huku akilengwalengwa machozi Valentina alisema: “ Tatizo la mwanangu la kupooza mwili mzima lilianzia pale alipodondoka chini baada ya kupata taarifa za kifo cha baba yake mwaka 2011.
“Sikutegemea kama mwanangu angekuwa hivi kwani alikuwa akiishi vizuri na alikuwa akiendelea na maisha yake hasa baada ya kupata mtoto ambaye anamtegemea.
“Baada ya kupata tatizo hili nilimpeleka Hospitali ya Taifa ya Muhimbili na alilazwa pale kwa matibabu lakini hali bado ikawa mbaya.
  “Ninachoweza kusema mimi ni kwamba sikukata tamaa, niliendelea kufanya juhudi kuokoa maisha yake licha ya kulazwa Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa muda wa miezi sita pasipo kupata nafuu na kuamua kumrudisha nyumbani.
Johanitha Robert Mulokozi akiwa nyumbani kwao Kivule, Ilala jijini Dar es Salaam. 
“Baadaye nilipata wazo la kumpeleka katika Hospitali ya Regence jijini Dar na nilipofika pale na kuwaelezea tatizo la mwanangu, walimpima na madaktari walibaini kuwa tatizo lake linaweza kutibika nchini India, nikaambiwa nitafute shilingi milioni kumi na tatu. Nilishika kichwa na kuanza kulia.
“Nililia kwa sababu nilijiuliza, nitapata wapi fedha hizo niokoe maisha ya mwanangu. Niliamua kumfuata Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa na  kumuelezea tatizo langu.
“Namshukuru sana baba yule (Jerry) kwani baada ya kumpa maelezo na kumuonesha barua ya safari ya India aliingiwa na huruma , akaniandikia hundi ya shilingi milioni sita (6,000,000/), hivyo nina upungufu wa shilingi milioni saba ili mwanangu aweze kupelekwa India kwa matibabu,” alisema mama huyo huku akifuta machozi kwa kanga yake.
Mgonjwa hakuweza kuzungumza na gazeti hili na badala yake wakati wote wa mahojiano na mama yake alikuwa akilia wakati wote.
Yeyote aliyeguswa na tatizo la mama huyu na angependa  kumsaidia mchango anaweza kuwasiliana naye kwa namba ya simu, 0714599104, 

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top