Habari Kali
Loading...

HAYA NDO MAMBO USIYOYAFAHAMU KUMHUSU HAMISA MOBETO, SOMA HAPA

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >


Hamisa Hassani Mobeto amezaliwa mwaka 1994 mkoani Mwanza na kabila lake ni Mnyamwezi. Mwanzo wake katika tasnia ya u-miss na modelling ilianza baada ya hamisa kuibuka mshindi wa shindano la  Miss XXL BACK TO SCHOOL BASH  Mwaka 2010 iliyoandaliwa na kipindi cha XXL kutoka Clouds Fm. Mwaka 2011 Hamisa alishiriki mashindano ya Miss Dar Indian Ocean na alifanikiwa kushika nafasi ya pili , pia mwaka huohuo alikua mshindi wa pili wa miss kinondoni na kufanikiwa kuingia kwenye Nusu fainali ya miss Tanzania.
Hamisa-Mobeto-slide--vibe-co-tz
Mwaka 2012 hamisa alishiriki kwenye mashindano ya Miss Univeristy Afrika na kuingia hatua ya 10 bora.
hamisa-1
Kutokea Hapo hamisa amekuwa gumzo kwenye tasnia ya uanamitindo na filamu pia. Pia amisa ni video vixen na wengi mnaweza kumuona kwenye video ya Quick Rocka ya My Baby. Mwaka 2014  Hamisa alitokea  kwenye cover page la Pulse Magazine la Nchini Kenya.
hamisa Cover
Akiwa Ndio kwanza ana miaka 21 Hamisa ni mtu wa kuangaliwa sana sababu anategemewa kufanya mambo makubwa zaidi.

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top