Habari Kali
Loading...

Hii ndio Ripoti kuhusu wimbo wa Ali Kiba, 'Mwana' na 'Mdogo Mdogo' ya Diamond...

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >

July 25, mwaka huu, Ali Kiba alivunja ukimya wa muda mrefu kwa kuachia nyimbo mbili kwa mpigo ambazo ni ‘Mwana Dar es Salaam na Kimasomaso’. Wengi walisubiri kwa hamu ujio wake mpya na waone kama kweli atatusua au itabuma!

Bila shaka yeye pia alikuwa na tension kujua jinsi gani nyimbo hizo zitakavyopokelewa na mashabiki hao. Je wazikubali sana au wataona kawaangusha?
Ripoti zilizonaswa na tovuti ya Times Fm kupitia vyanzo mbalimbali vikiwa ni pamoja na baadhi ya ma DJ wanaofanya kazi Times Fm Radio na katika club mbalimbali zinaonesha kuwa Mwana Dar es Salaam inafanya vizuri sana hasa club.
“Aisee, kwa kweli nimepiga club kadhaa na kuhudhuria club karibia zote kubwa za mjini. Nimegundua wimbo wa Ali Kiba, Mwana Dar es Salaam unafanya vizuri sana. Kiukweli inafanya vizuri sana hasa kwa kulinganisha na muda ulioingia sokoni. Yaani ukiupiga unaona watu wanakuelewa kibao aisee.” DJ ambaye hakutaka jina lake litajwe ameiambia tovuti ya Times Fm.
DJ mwingine ambaye alikubaliana na maelezo ya DJ wa kwanza kuhusu wimbo wa Ali Kiba, aliongeza kuwa bado wimbo wa Diamond, Mdogo Mdogo ndio wimbo ambao anaweza kuutaja kama wimbo wa kuwaamsha watu zaidi.
“Ukitaka club pavurugike. Yaani watu wafurike kwenye dance floor kwa fujo… we piga tu MdogoMdogo ya Diamond. Yaani haielezeki shangwe yake aisee. Watu wanapagawa.” Alisema.
Nyimbo zote mbili zinapata nafasi nzuri sana katika vituo vya radio. MdogoMdogo ambayo ina video ya kimataifa inachezwa sana na kukubalika kwenye vituo vya mbalimbali vya runinga. Youtube, video hiyo imeshaangaliwa zaidi ya mara 717,000 kwenye akaunti ya Diamond pekee.
Mashabiki wengi wana kiu ya kuiona video ya wimbo wa Ali Kiba ambayo inabidi iwe na level kubwa kulingana na wimbo wenyewe.
Wimbo wa Diamond ‘Mdogo Mdogo’ ulitoka rasmi June 12, baada ya mwezi mmoja na wiki moja ukatoka wimbo wa Ali Kiba ‘Mwana Dar es Salaam’.

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top