Keyshia Cole ambaye hivi karibuni amepigana chini na mume wake Daniel Gibson ‘Boobie’, mwishoni mwa wiki jana aliachia video yake mpya ya wimbo wa She, ambayo ilishangaza wengi kutokana na kuwamo matukio ya muonekano wa kushabikia mahusiano ya kimapenzi ya jinsia moja ( Usagaji )
Katika video hiyo, Keyshia Cole anaonekana akimchezea kimahaba msichana mwenzake anayeonekana kufanana naye kwa sura, huku wakiwa chumbani, jambo lilioonekana kama kuashiria aina yake mpya ya mahusiano ya kimapenzi hasa kutokana na kuachana na mumewe siku chache zilizopita….
Hata hivyo, Keyshia Cole amejitetea kuwa wimbo huo uliotayarishwa na DJ Mustard hauhusu uhusiano wa kimapenzi kati ya mwanamke na mwanamke.
“Ni wimbo wa kimapenzi, lakini hauhusu mapenzi ya mwanamke na mwanamke kama inavyodhaniwa,” amejitetea Keyshia Cole
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >