Habari Kali
Loading...

MAPENZI YA KWELI: MSICHANA WA KIHINDI AACHANA NA FAMILIA YAKE TAJIRI NA KUHAMIA KIJIJINI KWA KIJANA MKENYA

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >

Tumezoea kuona kwenye filamu au tamthilia simulizi la msichana mrembo anaotoka katika familia ya kitajiri aliyechagua kuyaacha maisha ya raha na kuishi uswahilini  na kijana anaempenda.

Huko Kenya, kumeripotiwa tukio halisi lililovuta hisia za wengi na kuzungumzwa zaidi kwenye mitandao ya kijamii na vyombo vya habari, ambapo msichana wa kihindi ameamua kuachana na familia yake tajiri na kuambatana na kijana wa Kenya aliyezama nae kwenye vilindi vya mahaba.

Msichana huyo wa kihidi anayefahamika kwa jina la Sarika Patel, ameolewa na kijana wa kabila la Bukusu, Timothy Khamala uamuzi ambao ni nadra kutokana na mila na desturi za kihindi na kilichoshangaza zaidi ni kuwa wawili hao wanaishi maisha duni kijijini.

Kwa Sarika, maisha ya umasikini sio kikwazo cha kulipata penzi la kijana Timothy aliyenasa kwenye penzi lake.

Safari ya penzi la Sarika na Timothy ilianzia nyumbani kwao Sarika ambapo kijana Timothy alikuwa akifanya kazi na baadae kutimuliwa kwa kudhaniwa kuwa ana uhusiano na princess wa jengo hilo (Sarika) jambo ambalo lilikuwa kweli.

 

Wawili hao wamejitoa na kuendelea kuishi pamoja licha ya kukiri kuwa wanakabiriwa na changamoto kubwa ya kutengwa na jamii ya upande wa familia ya kwao Sarika kwa kuwa kitendo hicho sio sahihi hata kidogo kwa mujibu wa mila na desturi zao, ambapo watu wa jamii sawa ndio wanaooana.

 
Hata hivyo, Sarika ameelezea msimamo wake kuwa utofauti wa rangi na tamaduni au ufukara wake hauwezi kumtenga na mpenzi wake wa dhati Timothy.

 

Mapenzi sio pesa, mapenzi ni moyo

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top