Habari Kali
Loading...

Q-CHILLAH ALAMBA MKATABA MNONO, AAHIDI KURUDI KWENYE GAME HARAKA..

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >
Mbongo Fleva, Abubakar Katwila ‘Q-Chillah’ akipokea mkataba kutoka 'QS Mhonda J Company'.
'Legend' kwenye gemu la Bongo Fleva, Abubakar Katwila ‘Q-Chillah’ akipozi.
Na mwandishi wetu
LEGEND kwenye gemu la Bongo Fleva, Abubakar Katwila ‘Q-Chillah’ amelamba mkataba wa nguvu kutoka QS Mhonda J Company ambao ndiyo watakaokuwa wakimsimamia kazi zake zote za muziki kwa sasa.
Mmiliki wa kampuni hiyo, Joseph Mhonda amesema atahakikishia anamsaidia kwa gharama yoyote nguli huyo ili arudi pale alipokuwa na kwenda mbele zaidi ikiwa pamoja na kuzindua bendi itakayokuwa ikifanya kazi zake na wasanii wenzake watakaosimamiwa na kampuni hiyo.
Akizungumzia hatua hiyo kubwa katika maisha yake ya muziki, Chillah alisema:
“Kwa miaka mitano nimekuwa kimya  kwenye radio na anga ya muziki kwa jumla ikiwa ni sehemu ya kuyapitia maisha mengine nje ya muziki but  thanks to God sikutegemea kupata mkataba mkubwa wa kunirudisha tena kwa nguvu zote kwa Watanzania waliomisi muziki mzuri kutoka kwangu, soon ngoma zitaanza kudondoka,” alisema Chillah

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top