JE, unamfahamu mtu aliyetunga sauti (melody) ya wimbo ambao leo Watanzania wanauita Wimbo wa Taifa?Huyu ni Enock Sontonga, raia wa Afrika Kusini, aliyetunga mashairi ya wimbo wa ‘Mungu Ibariki Afrika’ ambao kwa lugha moja ya Afrika Kusini unajulikana kama ‘Nkosi Sikelel’ iAfrika’.
Sontonga alizaliwa mwaka 1873 na kufariki Aprili 18, 1905.Sauti ya wimbo huo imetumiwa na nchi kadhaa kwa nyimbo za taifa za Afrika Kusini, Zimbabwe, Namibia, Zambia na Tanzania – ambapo Tanzania na Zambia zimeendelea kuitumia ‘melody’ hiyo hadi leo hii.Nchi zingine tatu za Zimbabwe, Namibia na Afrika Kusini zimetunga nyimbo nyingine.
Wimbo huu ulitungwa mwaka 1897 na kurekebishwa na wahariri mbalimbali mpaka kufikia kutumika vyema katika maswala ya kitaifa. Kwa habari zaidi fungua mtandao sehemu ya (Wikipedia) kupitia:
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >