Watu wawili wamefariki dunia baada ya ajali iliyolihusisha gari aina ya Mitsubishi Canter lililosajiliwa kwa namba T. 497 AFR lililokuwa likiendeshwa na dereva aliyefahamika kwa jina la Sefania Msigalamwenye miaka 40 ambaye ni mkazi wa Madabaga mkoani hapa.
Taarifa kutoka kwa maafisa wa polisi mkoani Mbeya zinaeleza kuwa ajali hiyo imetokea baada ya gari hilo kuacha njia na kupinduka alfajiri ya kuamkia leo majira ya saa 10:15 katika mteremko mkali kijijini Itewe, wilaya ya Mbeya vijijini mkoani hapa na kisha kusababisha kifo cha Dereva wa gari hilo Sefania Msigala na abiria wake Riziki Mhanga mwenye miaka 45 mkazi wa Njombe.
Chanzo cha ajali hiyo bado hakijafahamika ingawa bado kinachunguzwa huku miili ya marehemu ikihifadhiwa katika Hospitali ya Rufaa Mbeya.
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >