NI kweli imetokea! Ni kwenye Kanisa la Paradise Internation Ministries lililoko Karakata Ukonga jijini Dar, mwanamke mmoja (pichani) anayedaiwa mchawi alidondoka usiku wa saa saba na kujikuta hawezi kutembea.
Tukio hilo lilijiri Septemba 13, mwaka huu wakati waumini wa kanisa hilo wakiwa wamezama kwenye maombi ya kufunga.
Ilidaiwa kuwa, waumini wa kanisa hilo wakiwa katika maombi hayo, Nabii Gideon Parapanda aliwahakikishia kuwa usiku huo kutatokea mambo ya ajabu kufuatia maombi hayo.
Inadaiwa ilipofika saa saba usiku mwanamke huyo akiwa na wenzake watatu, walidondokea kanisani hapo na kusababisha taharuki kwa waumini waliokuwa wakifanya maombi ndani. Mwanamke huyo alikuwa na kitambaa chekundu kikidaiwa ni hirizi, fimbo nyeusi iliyozungushiwa shanga na alikuwa amejipaka masizi mwilini.
Mwanamke baada ya kudondokea kanisani na kusababisha taharuki kwa waumini waliokuwa wakifanya maombi ndani.
Akizungumza na Uwazi, Nabii Parapanda alisema watu hao walidondoka watatu, wawili walifanikiwa kukimbia akabaki huyo mmoja aliyejitambulishwa kwa jina moja la Aisha, mkazi wa Mwananyamala A jijini Dar.
Baada ya tukio hilo vyombo vya ulinzi, askari wa JWTZ na polisi walifika kwa lengo la kuhakikisha usalama wa eneo hilo lakini nabii huyo aliomba mtu huyo asichukuliwe hadi atapofanyiwa maombi maalum.
Ombi la kiongozi huyo lilikubaliwa ambapo Aisha alipandishwa madhabahuni na kukiri kuwa alikuwa na wenzake watano lakini katika kuanguka walikuwa watatu, wawili walifanikiwa kukimbia bila kusema walikuwa wakitoka wapi kwenda wapi.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Ilala, SACP Mary Nzuki alipohojiwa kuhusiana na tukio hilo alisema:
“Ni kweli tukio hilo limetokea na watu wameshuhudia, mwanamke huyo bado yuko kanisani hapo kwa maombi.”
“Ni kweli tukio hilo limetokea na watu wameshuhudia, mwanamke huyo bado yuko kanisani hapo kwa maombi.”
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >