Habari Kali
Loading...

BABA APOTEZA MAISHA BAADA YA KUPIGWA VIBOKO NA WANAE HUKO MKOANI KAGERA.

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >
Jeshi la Polis mkoani Kagera linawashikilia watoto watatu,kwa tuhuma za kumpiga fimbo baba yao mzazi na kumsababishia kifo.
Kaimu Kamanda wa Jeshi la Polis mkoani hapa Gilles Muroto,alisema tukio hilo lilitokea mnamo mwezi Septemba 15,katika kijiji cha Mkunyu kata Kikukuru tarafa Mabira wilayani Kyerwa,ambapo watuhumiwa hao ambao hawakutajwa majina yao kutokana na umri wao kuwa chini ya miaka 18,walimuua baba yao mzazi Henry Siliakus(62)kwa kumchapa fimbo hadi akapoteza uhai wake.
 
Muroto alisema watoto hao ambao kati yao mmoja mwenye  umri wa miaka 17 anasoma kidato cha pili katika shule ya Sekondari ya Mkunyu,huku mwenye umri wa miaka 13 ni mwanafunzi wa darasa la nne na mwenye umri wa miaka 11 ni mwanafunzi wa darasa la tatu, wote wakiwa wanasoma katika shule za msingi Mkunyu.
 
Alisema mzazi huyo alikumbwa na mauti hayo kutokana na kupigwa fimbo nyingi kichwani akiwa nyumbani kwake,huku sababu ya awali ya mtafaruku huo uliosababisha kifo ikidaiwa kuwa ni ugomvi wa baba na watoto wake,kwa kile kilichodaiwa marehemu kuwa na tabia ya kuuza chakula cha familia na kuwaacha watoto wakitaabika.
 
Hata hivyo,alisema jeshi hilo bado linaendelea na uchunguzi wa kina juu ya tukio hilo na litawafikisha mahakamani watoto pale taratibu za kisheria juu ya umri wao zitakapokamilika. ITV


Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top