Zaidi ya watu 250 miongoni mwao wakiwemo watoto, katika kijiji cha Litapwasi katika wilaya ya Songea mkoani Ruvuma wamenusurika kufa baada ya kunywa togwa inayosadikiwa kuwa na sumu.
Watu hao wamekunywa togwa hiyo katika sherehe ya kipaimara iliyofanyia kijijini hapo juzi, Jumapili.
Watu 27 kati yao walilazwa katika hospitali ya Mtakatifu Joseph ya Peramiho huku wengine wakikimbizwa katika hospitali ya kijiji cha jirani cha Ligweneni ambapo 50 kati hao walipatiwa tiba na kuruhusiwa kurejea makwao huku wengine wakibaki wamelazwa.
Wagonjwa waliolazwa wamesema tukio hilo lilitokea juzi mchana katika nyumba ya Ines Nungu (47) ambako kulikuwa na sherehe ya ubarikio wa kipaimara cha watoto wake wawili, lakini baada ya sherehe hiyo, usiku kila mtu alianza kujisikia vibaya na ndipo walipowahishwa katika hospitali ya Misheni ya Peramiho.
Mganga Mkuu wa hospitali ya Mt. Joseph ya Peramiho Dkt Venance Mushi amesema wagonjwa wanaotibiwa katika hospitali hiyo wanaendelea vizuri na bado wanapokea wagonjwa wengine wanaopelekwa
Kamanda wa Polisi Mkoani Ruvuma, Mihayo Msikhela amesema jeshi la Polisi linaendelea na uchunguzi wa tukio hilo.
Alifafanua kuwa katika sherehe hiyo kulikuwa na vyakula vingi pamoja na togwa lakini inaonekana kuwa watu waliokula vyakula bila ya kunywa togwa hawakuathirika.
Watu 5 wanashikiliwa na polisi akiwemo mwandaaji wa sherehe hiyo.

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >