Habari Kali
Loading...

DIMPOZ, VANESSA MDEE MAHABA NIUE!

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >
SIKU chache baada ya mkali wa Bongo Fleva, Omar Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ kuripotiwa kuwa anatembea na mwanamitindo Jokate Mwegelo, imedaiwa kuwa amemmwaga na kuhamishia ‘mahaba niue’ kwa mtoto mzuri anayefanya muziki wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee.
Mbongo Fleva, Omar Nyembo ‘Ommy Dimpoz’,  na Vanessa Mdee wakila 'good time'.
Tukio la kudhihirisha kwamba wawili hao ni wapendanao lilitokea juzikati walipokuwa kwenye Tamasha la Serengeti Fiesta katika Mikoa ya Iringa na Morogoro ambako paparazi wetu aliwafuatilia hatua kwa hatua.
Chanzo chetu kilicho karibu na wawili hao kilipigilia msumari wa uwepo wa penzi motomoto kati ya wawili hao kwa kudai hata ukaribu wa msanii Jux na Vanessa ulioripotiwa hivi karibuni katika vyombo vya habari, ulikuwa ni upambe tu kwa Dimpoz.
Mwanadafada wa Bongo Fleva Vanessa Mdee,  akibadilishana mawazo na Omar Nyembo ‘Ommy Dimpoz’.
“Jux alikuwa mpambe tu kwa Dimpoz wala hakuwa na uhusiano na Vanessa kama wengi walivyokuwa wakifikiri,” kilisema chanzo hicho.
Mara baada ya paparazi wetu kuwafotoa picha kibao zinazowaonesha wawili hao wakipeana kampani ya karibu kwa nyakati tofauti katika ziara hiyo, alimvaa Dimpoz na kumuuliza kama ndiyo ameamua kujisevia moja kwa moja au vipi, msikie alichojibu:
Wakikonga vyoyo za mashabiki.
“Ujue kuna vitu unaweza kujitahidi sana kubishana na watu lakini kuna muda inabidi uwe mpole tu kama hii ishu yangu na Vanessa maana walishaongea sana juu ya uhusiano wetu, sasa nashindwa hata namna ya kumwepuka.
“Hatujawahi kugombana hata siku moja na sina jinsi ya kuepuka kufanya naye chochote maana kama ishu ya mapenzi kati yetu ipo wazi na hakuna jipya ambalo naweza kusema watu wakanielewa,” alisema Ommy Dimpoz.Alipoulizwa Vanessa kuhusiana na uhusiano wao, aliishia kucheka tu na kudai hakuwa na cha kuzungumza.

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top