Habari Kali
Loading...

Exclusive: Diamond azungumzia tetesi za kutaka kumuoa Meninah na vikao vya siri vinavyoendelea nyumbani kwake

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >
Hatimaye Diamond Platnumz amefunguka kuhusu tetesi zinazoendelea kuwa ameachana na Wema Sepetu na kwamba ana mpango wa kufunga ndoa na Meninah Atick.
10464206_763180223703794_2359589105802256374_n
Diamond ameiambia Bongo5 kuwa tetesi hizo zimekuwa zikimhuzunisha kwa kiasi kikubwa.
“Unajua hizi habari kiukweli zimekuwa zikinihuzunisha sana,” amesema msanii huyo.“Unajua mie ni mtu mmoja ambaye sipendi kuzunguzia mambo ya rumors, siju magazeti huwa sipendi kuzungumzia kabisa, kwa kuwa najua kabisa siwezi kubishana na media kwakuwa media ni kubwa, maana najua utaongea na huyu na yule siku ya siku utagombana na watu. Ndio maana huwa nakaa kimya,” ameongeza Diamond.
wema

Wema

“Kusema ukweli hili suala limekuwa likiniumiza ‘eti sijui kuna vikao vya harusi mie nataka kumuoa Meninah’ Kusema ukweli sina mahusiano na Meninah. Kila mtu anajua mie nina mahisiano Wema. Wema ndo mpenzi wangu, ila wakati mwingine nakuwa naelewa ile inakuwa ni trick ya kibiashara. Mtu anajua hata nikimuandika vipi ‘Diamond sijui kafanya nini watu hawawezi kumchukia! Kwahiyo wanaamua kunitengenezea chuki na maadui kwa watu kuwa nipo na mwanamke wangu halafu namsaliti.”
meninah

Meninah

“Unajua kitendo hicho hatamaye kinaniudhi naona mtu yupo na mpenzi wake halafu anamsaliti. Najua hicho ni kitendo ambacho kila mtu hakimpendezi. Kwahiyo wanaamua kunitengenezea chuki na maadui kupitia njia hiyo. Labda wana wasanii wao, sasa wanaona tukiingia kwa njia hii tutaweza kuamharibia Diamond. Ndioa siku zote nimekuwa kimya tu ila sina mahusiano na Meninah. Mie nikiwa na mtu huwa sifichi naweka wazi kabisa. Hata kama leo nimeachana na Wema nasema tu, why nifiche? Mie katika mambo yangu huwa simuogopi mtu kama ningekuwa nataka kuoa basi ninge weka wazi why nifiche?”
Credit bongo5

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top