Mamba wenye njaa walimla bibi kizee mwenye umri wa miaka 65.Inasemekana kwamba aliruka kwenye eneo lao huko nchini Bangkok
Wanpei Inyai alichagua uamuzi mbaya kabisa wa kujiua.Bibi huyo mwenye umri wa miaka 65 alijirusha mwenyewe kwa hiari yake katika zizi la mamba 1000,katika eneo la hifadhi ya wanyama linalo itwa Samut Prakarn.Kwa mujibu wa vyanzo vya habari vinadai kuwa bibi huyo alikuwa na msongo wa mawazo sana siku kabla ya kujiua.Hakuongea hata neno moja kabla ya kujirusha humo kwenye zizi la mamba
Mmoja wa watunza wanyama hao aliyeshuhudia tukio hilo anasema:
"Hakulia wala kupiga kupiga kelele baada ya kujirusha kwenye zizi hilo la mamba,hatukuweza kufanya lolote baada ya kujirusha kwa sababu lilikuwa jambo la haraka sana ".
Mtunza wanyama Thanes Wiriyaporn anasema tukio lilitokea haraka sana wakati wanamla huyo bibi kizee
"tukio hilo lilitokea mbele ya macho yangu kabisa wakati anaruka ndani ya hilo zizi hilo la mamba hakusema lolote wakati anajirusha ndani ya zizi hilo"
Walinzi wa wanyama walijaribu kumuokoa lakini hawakufua dafu..!!Walijaribu kuwafukuza wanyama lakini hawakuweza .Mwanamke huyo alitambulika tu kwa sababu nyaraka zake zilikuwa zina elea majini baada ya kuliwa na mamba hao...!!!
RIP BIBI YETU
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >