NDUGU mwanafunzi; bila shaka wewe ni moja kati ya wanaokiri kuwa masomo fulani ni magumu na umekata tamaa kuyasoma kiasi cha kusubiri kufeli katika mitihani yako. Kama siyo wewe basi unaweza kuwa umesikia baadhi ya wanafunzi wenzako wakilalamika kuwa: “Yaani masomo haya hatuyawezi.” Kama mtaalam, natambua katika kutafuta elimu kuna masomo magumu na yamekuwa kikwazo cha wengi kutimiza ndoto zao.
Kwa kufahamu hilo, leo niko tayari kukufundisha mbinu za kukabiliana na masomo magumu na kukupa uelewa wa namna ya kufanya ili utoke kwenye kikwazo hicho na kujitengenezea uwezo usiokuwa na shaka wa kufaulu masomo yote na kusonga mbele katika kutimiza ndoto zako za kuwa daktari, mwalimu, rubani au injinia.
Mwanafunzi mpendwa; kabla ya kusonga mbele na somo hili hebu chukua hatua kujiuliza, kwa nini somo la hesabu au sayansi au kemia liwe somo pekee linalokushinda kuelewa wakati masomo mengine unayaweza; tatizo ni nini? Wakati unatafakari hilo mimi nachukua hatua ya kujibu kwa kusema mwenye tatizo ni wewe; kwa nini? Hufuati misingi hii hapa chini!
KWANZA: UMEPOTEZA KUJIAMINI
Uchunguzi unaonesha kuwa masomo yanayowashinda watu wengi ni yale ambayo yanapigiwa kilele sana na wanafunzi miaka nenda rudi kuwa ni magumu. Mfano, hesabu na masomo ya sayansi, ingawa mengine yapo lakini haya yanaongoza; kwa nini? Wanafunzi wengi wamejengewa hofu ya kutoyaweza kutokana na kauli za kuogofya kutoka kwa waliyoyashindwa zama na zama.

Mwanafunzi wangu; nakushauri usiliogope somo lolote kutokana na historia, usiruhusu akili yako ikuambie kuwa somo fulani ni gumu, tambua hakuna ugumu unaoshinda akili za mwanadamu ambaye ni wewe! Ukifanikiwa kuondoa hofu, ukajiamini, utayaona masomo magumu kuwa mepesi na utafaulu vizuri.
PILI: KUWA TAYARI KUFUNDISHWA
Wanafunzi wengi wanapokuwa katika hali ya kukosa kujiamini kinachotokea automatic ni kuondokewa na utayari wa kufundishwa na walimu wa masomo hayo, kikwazo kikuu kikiwa ni kujikatia tamaa. Utakuta mwalimu anafundisha, mwanafuzi hamsikilizi na wakati mwingine anachati na simu au kuwaza mambo mengine nje ya darasa.

Itaendelea wiki ijayo.
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >