Habari Kali
Loading...

JINSI YA KUJIFUNZA NA KUELEWA MASOMO MAGUMU-2

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >
Wanafunzi leo naendelea na somo nililoanza wiki iliyopita.
Ifahamike kwamba; ili uweze kuelewa somo lazima uzingatie mwalimu anapokufundisha na uchukue hatua za kufuatilia dokezo zote zinazotolewa na ikiwezekana muulize mwalimu wako mahali ambapo hujaelewa sawasawa. Achana na vitendo vya kukwepa kufundishwa!
TATU: PUNGUZA WINGI WA MAELEZO
Wakati mwingine ni kawaida kwa mwalimu kufundisha kwa kutumia mazungumzo marefu yanayoambatana na notisi nyingi za kuandika; katika hali hiyo mwanafunzi asitegemee kuelewa mambo yote hayo kwa wakati mmoja.
Mwanafunzi wangu; jambo unalotakiwa kufanya katika mazingira ya namna hiyo ni kuchukua pointi za msingi ambazo zitakusaidia katika kukuongoza. Mfano, kuchukua takwimu, njia za kupata jibu na dokezo muhimu, maelezo mengine unaachana nayo, kwani yatakuongezea mzigo wa kutafakari.
Njia hii ya kuchambua mada au topiki itakusaidia kuhifadhi kumbukumbu, hutakuwa mtu wa kusahau kwa sababu vitu ni vichache. Lakini pia utakuwa umejiwekea msingi mkubwa wa kumudu kujikumbusha pale utakapokuwa na hitaji la kufanya hivyo.
NNE: JIONGEZEE MAARIFA
Kile ulichofundishwa kinaweza kuwa ni robo ya mada au somo husika; sasa ili ujiongezee maarifa chukua muda wa kuchambua vile ulivyofundishwa kwa kuvitafutia vyanzo vingine vya ufafanuzi. Inaweza kuwa ni kwa kusoma vitabu, kuangalia kwenye intaneti au kutafuta mtu ambaye anauelewa juu ya kile ulichofundishwa.
Faida ya kufanya hivi ni kujishibisha maarifa. Mwalimu anaweza kuwa amekufundisha jina la mgunduzi wa gari akaishia hapo, lakini unapozidi kuchimba mwenyewe utajikuta unajua mguduzi huyo siyo tu alikuwa anaitwa nani lakini ukoo wake, tabia zake au mji aliokuwa anaishi.
Katika maarifa ambayo utajiongezea huenda ukakutana na kipengele ambacho utakipenda na kukifanya simulizi na msisimko wa akili yako na hivyo kuwa hodari katika kuelezea somo ulilojifunza na hivyo kujisogeza katika ufaulu wa juu linapokuja suala la mitihani. Acha kutegemea maelezo na notisi za mwalimu, jiongezee ufahamu.
TANO: JIWEKEE MSINGI WA KUJIZOEZA
Hata kama umeelewa kwa kiwango kikubwa usiache kujiwekea msingi wa kufanyia mazoezi yale uliyojifuza.
Unaweza kujitungia mitihani na kufanya kila baada ya muda fulani au kuwa na utaratibu wa kuzungumzia ulichojifunza mbele ya wenzako. Usione vibaya kutumia muda wako kufundisha wengine kila unachoelewa kwani kadili unavyofanya hivyo ndivyo unavyojijengea uwezo mkubwa wa kuelewa na kukumbuka somo husika.
SITA: UMIZWA NA KUFELI
Kuna baadhi ya wanafunzi ambao hata wakipata alama za chini kiasi gani katika masomo yanayowashinda huwa hawaumizwi. Utasikia wanasema: “Nashukuru hata kupata hizi alama 15 maana mimi nilitegemea ningepata ziro kabisa.” Anafurahia kufeli. Usiwe mtu wa aina hii.
Kila siku umizwa na kufeli kwa sababu kushindwa kwako katika ufaulu kutakufanya usiwe daktari, injinia au mkemia taaluma ambazo unatamani kuzipata. Mwanafunzi wangu; tambua kuwa hukuzaliwa uwe mtu wa chini unatakiwa kuwa juu kama hao unaowaona na kuwahusudu. Jiamini.
Baada ya kusema hayo usikose kusoma wiki ijayo mbinu mbadala za kufanya ikiwa utatumia vitokezo hivi na kushindwa kukupatia unafuu katika masomo unayoyaita magumu.
Nitafundisha somo hili baada ya baadhi ya wanafunzi kunipigia simu na kunieleza kuwa baadhi ya dokezo hizi wameshazifanya lakini hawajaona matokeo mazuri katika masomo yao. Usikose kuungana nami ni muhimu sana kwako wewe mwanafunzi wa ngazi yoyote ile!
itaendelea wiki ijayo

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top