Habari Kali
Loading...

KIJANA AFARIKI DUNIA BAADA YA KUPINDUKA NA PIKIPIKI HUKO WILAYANI RUNGWE!! TAZAMA PICHA HAPA

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >
Ajali ya pikipiki iliyotokea usiku wa kuamkia leo katika kijiji cha Ilima, tarafa ya Pakati, tarafa ya Pakati wilayani Rungwe hapa mkoani Mbeya imesababisha kifo cha mtu mmoja aliyefahamika kwa majina ya Naseeb Langson mkazi wa Igogwe, Tukuyu.

Taarifa kutoka kwa maafisa wa  polisi zinaeleza kuwa kifo hicho kimetokea baada ya pikipiki iliyokuwa ikiendeshwa na marehemu Naseeb Langson iliacha njia na kisha kupinduka na kusababisha dereva kujeruhiwa vibaya na kufariki muda mfupi baada kufikishwa katika hospitali ya wilaya ya Rungwe kwa matibabu.
Taarifa zaidi zilizoifikia Fichuo Tz zinaeleza kuwa chanzo cha ajali hiyo ni mwendokasi wa pikipiki na mwili wa marehemu umehifadhiwa katika ya wilaya ya Rungwe.
Pamoja na hayo Kamanda wa polisi mkoa wa Mbeya, kamishna msaidizi mwandamizi wa polisi Ahmed Msangi amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kutoa wito kwa madereva kuwa makini wanapotumia vyombo vya moto ikiwa ni pamoja na kuzingatia sheria za usalama wa barabarani ili kuepusha ajali zinazoweza kuepukika.

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top