1. Unadanganya Sana
Wanaume sio wajinga. Hufahamua pale wanapokuwa wanadanganywa. Usijaribu kuficha wewe ni nani sababuunafikiri jamaa hatokupenda wewe kama wewe. Huwezi kumfanya mjinga daima na mara baada ya ukweli kujitokezahatoweza kuja kukuamini tena. Hivyo ni vyema kuwa wewe kwa watu unaotoka nao.
2. Huna Shukurani Kwa Vitu Vidogo Anavyokufanyia
Baadhi ya wanaume sio wazuri katika kuelezea hisia zao, ila hujaribu kutumia njia zao mbadala. Wakati mwengine ni kwa kitu kidogo kama kuja kukuchukua na kwenda kukununulia keki akifahamu kuwa ni kitu ukipendacho. Mara nyingi matendo ya namna hii huweza kufanyika bila wewe kujua, kama mwanaume anajaribu kukuonyesha kama anajali na unakuwa kama hauoni, atafikiri kuwa wewe haujali au haumpendi. Onyesha unajali kwa jitihada anazofanya kwako.
3. Unatuma Meseji na Kupiga Simu Sana
Wanaume hupenda kujisikia wao ni muhimu. Kama muda wote mkiwa mnapata chakula cha jioni na wewe uko bize na simu yako huona kama hamuwajali. Ufumbuzi wa hili ni kwa wewe kuzima simu yako ili uweze kumpa muda wote yeye. Hakika, fikiria juu ya hilo kisha uache.
4. Wewe Ni Mtu Wa Kujichanganya Sana
Wanaume hupenda kura raha, ila pia hupenda kutulia, kama utakuwa unakwenda baa na disco kama mara tatu kwa wiki, muda sio mrefu mwanaume wako atachoka na hiyo hali. Kwanza kabisa hali hiyo haileti maendeleo kabisa na hupoteza muda kikifanywa kwa kupitiliza. Hivyo mwanume anaweza kukuacha pia kwa hilo. Kama unahitaji kuwa kwenye mahusiano ya ukweli unatakiwa uache mambo yote kutokatoka usiku. Simaanishi kwamba usiwe unatoka kabisa,ila fanya hivyo mara moja moja.
5. Kujifanya Unajua Kila Kitu
Wanawake ni watu poa: sote tunajua hili, ila baadhi ya wanawake wanhisi kuwa wanajua kila kitu, hakuna mtu anayempenda mtu anayejifanya anajua kila kitu. Unapokuwa unasisitiza kuwa jamaa yako ni hayupo sahihi inaweza sababisha ile kwako. Hata kama wakati mwengine unafahamu kwamba wewe uko sawa kuhusu jambo fulani acha yaishe. Ni vyema kumfanya mtu mwengine kuwa mshindi.
6. Usiogope Kula
Hapa kuna ukweli juu ya dunia hii: Wanaume hupenda kula chakula. Usipokula wakati yeye anakula, utamfanya ajisikie vibaya. Huitaji kula chips kuku kila siku, ila jitahidi kuleta ushirikiano pale anapokuwa anakula japo kwa wewe kuagizia japo matunda.
7. Mtu Wa Kutojitegemea Vyakutosha
Inapotokea maisha kwenda hovyo kitu cha kwanza kwako nimkukimblia kwa wazazi kwa msaada, inaweza kumfanya mwanaume ajisikie vibaya. Ni vyema kuwa na mipango ya kusaidiana, ila kama unampigia simu mama yako sababu kucha yako imeng'oka, au sababu jamaa yako hajalipa bili za vitu muhimu, au sababu ameacha hela kidogo nyumbani, ama amechelewa kurudi, kama hajala chakula ulichopika... Hii itaonyesha hutokuwa na uwezo wa kukabiliana na matatizo makubwa yakija kutokea.
8. Haufanyi Kazi Ila Unataka Kutumia Kama Millionea
Kama unahitaji kufanya manunuzi siku nzima, ni vyema ukawa na hela zako kuweza kutekeleza hilo. Wanaume hawapendi kutoka jasho kutwa nzima. Wakati mwengine wanawake wengi wanapenda ushindani, wanapenda kununua vitu ambavyo haviendani na uwezo wa kipato chao. Wanapenda kujionyesha kuwa wanacho sababu alimuona mwenzake akiwa nacho. Wanaume hawapendi hili; watakutema sababu ya kuwa mtu wa matumizi makubwa.
9. Unahitaji Umbadilishe
Wanaume hujipenda kwa vile walivyo. Wako walivyo kwa sababu, zaidi ni kwa maisha. kama hajui kuvaa unaweza kumnunulia t-sheti mpya, ila usijlazimishe kitu chochote kwake. Kama anapenda kuvaa Jeans, T-shirts na raba simpo fahamu kuwa huo ndio mtindo wake… Usijaribu kumbadilisha aanze kuwa anavaa suti vazi ambalo hajazoe kulivaa. Fanya kumpenda kama alivyo. Kama huvutiwi na vile alivyo, mtafute mwengine atakayekufanya uwe na furaha. Ila kumbuka kuna mtu anaweza kuwa ni hodari wa kuvaa ila hana penzi la kweli na moyo wako.
10. Unashindwa Kuchagua Sehemu Ya Kula Dinner:
Kama mkitoka kwa ajili ya chakula cha usiku fanya mamuzi ya kuchagua sehemu moja na shikiria msimamo huo. Wanaume huwa hawapendi kufanya maamuzi yanayobadilika badilika. Kama unahitaji kwenda zaidi ya sehemu moja, kumbuka wikiendi ijayo pia ipo.
11. Kujifanya Kama Mwisho wa Dunia
Hakuna kitu asichopenda mwanaume pale ambapo mwanamke anapojifanya kama ni mwisho wa dunia, labda tu sababu alikuta keki yake anayoipenda imeisha dukani alipokwenda kuinunua. Hata kama ni muhimu kwako fanya kuipotezea. Wanaume hupenda kupotezea mambo kitu ambacho nawe unaweza.
12. Kuwa Karibu Sana Na Rafiki Zake
Wanaume huwa hawaongezi marafiki mara kwa mara. Marafiki walionao huwa ni muda mrefu. Unapojaribu kuingia katikati ya mwanume wako na rafiki zake unakuwa unatengeneza vipingamizi vya wawili kati yenu. Mwanaume anaweza kukuacha sababu ya ukaribu wako na rafiki zake. Atajiona hayupo salama; ataingiwa na wivu na kuanza kupoteza uaminifu kwako hali kitu kinachoweza kumfanya akuache na hata kuwachukia rafiki zake kimoja. usiwe karibu na rafiki zake kwa sana; usiwasiliane nao bila ya yeye kufahamu labda kama yuko poa na hali hiyo. Ongea nao mara nyingi kama sio zote wakati yupo nao.
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >