habari hiyo.Hivi ndivyo alivyoandika Jide:
Zamani ilikuwa haipo sehemu ya kujitetea, gazeti
likishaandika ndio limeandika.
Lakini sasa ulimwengu umebadilika, sio muda wa
watu wote kulishwa chakula kisichofaa.
Kwanza hicho kichwa cha habari kimenivunjia
heshma sana
Nafikiri lengo ni kuilazimisha jamii inayomuelewa
JayDee tofauti imuone kuwa ni mtu asiefaa, sawa.
Dogo anaswa na mkoko? Huo mkoko mmemnasa
nao wapi wakati hizo picha ni mimi nilizi post
mwezi February Instagram?????
Picha ambazo zilipigwa Nyumbani lounge tena
kutumia simu ya Gardner.
Jide, dogodogo gumzo mjini
Gumzo ni kitu kinachoongelewa sana na
kilichoenea kila kona ,,,,,sasa hii habari ni gumzo
wapi ambapo haisikiki, ……
Mngeandika tumeamua kumuanzishia Jide gumzo
hili, ndio ningewaelewa.
Vitu vya kuzua.
Ni watu wengi tu wakija band wakipata nafasi
wanaomba kupiga picha na mimi na wengine pia
wanaomba kupiga picha na gari sababu
wanaipenda.
Kama mtu yoyote anavyoweza kupiga picha na
sanamu la kitu chochote anachokipenda.
Hivi je! Wimbo wa JayDee mgumba, JayDee tasa
umechuja? Umeisha chati?? Nashangaa na
najiuliza tu
Inawezekana wimbo huo umechuja ndio maana
mnatafuta wimbo mwingine utakao hit zaidi ya ule
Ndio kinachopelekea kuandika story za namna hii
Sio nyinyi mliokuja kuomba radhi kwa yote
mliowahi kuniandika na kudai kuwa
mmejirekebisha, miezi kadhaa tu iliopita?
Sio boss wenu aliemfuata Gardner na kumwambia
tumalize tofauti zetu?
Kama hizo tofauti zilikuwepo
Inawezekana nyie ndio mna tofauti na mimi,
sijawahi kuwa na tofauti na mtu hata
nisiemfahamu. ..
Nashukuru Mungu nilikataa msamaha wenu ni
kama nilihisi hamkumaanisha
Au sababu sijawahi kukubali show mlizotaka
kufanya na mimi?
Je! Hiki ni kisasi? Sielewi
Mungu alienisimamia ataendelea
Hii sio vita ya kwanza wala ya mwisho
Dunia ni mapambano.
Kama nia ni kufanya niishi maisha ya uoga,
kudhoofika na msongo wa mawazo mmefeli ,,,,,
wengine mkijidai ni wacha Mungu huku mkiumiza
nafsi za watoto wa binadamu wenzenu.
No wonder mnaishi bila amani mbali na utajiri
mlionao kwa kuogopa visasi.
Sikuzaliwa kukata tamaa
Pia wapo wanaopenda kuandikwa kwenye hayo
magazeti yenu.
Wafanyieni favor ya kuwapa hiyo nafasi mi sifanyi
muziki wa magazeti ya udaku
Mkiachana na mimi nitashukuru sana
Hata ndoa yangu ikivunjika haimaanishi mnitafutie
story za kunichafua
Ndoa ya Madiba ilivunjika sembuse yangu nina
utofauti ipi na binadamu wengine?
Nyie ndoa zenu ziko perfect si ndio?
Hewala watakatifu nyie, mnaoficha yenu na
kutangaza ya wenzenu.
Mwisho nawaomba watu mnaonielewa kutoamini tu
habari yoyote ambayo haijatoka kwangu wala kwa
muwakilishi wangu ambae ni “Webiro Wakazi
Wasira”.
Kama kuna chochote cha watu kujua nitakiongea
mimi kwa mdomo wangu sio kuwekewa maneno
mdomoni.
Kila siku ooooh tulimpigia simu hapatikani, namba
yangu yenyewe kwanza hata mnaijua???
Mngekuwa mnaijua msingekuwa mnahangaika
mnawapigia watu wangu wa karibu kunitafuta , na
hao watu hawawezi kunisaliti ndio sababu mpaka
miaka 70 mtaishia kusema tulimpigia simu JayDee
hapatikani.
Nyie muongee chochote mnachojiskia
Ila sie hatuna haki kujitetea ??
Hili nalo litapita kama mengine
Na inshallah nitakuwa hapa hapa nimesimama
nawaangalia
Picha moja wapo ni hiyo ambapo mtoto wa vitoto
alikuja siku hiyo hiyo na akapiga picha na Gardner,
mbele ya gari hiyo hiyo mnayodanganya watu
kuwa mmemkuta nayo na mahala ni hapo hapo
Nyumbani Lounge, ,,,,, na picha nyingine ni hizo
nilizowahi kuzi post mimi mwenyewe mwezi
february leo zinanihukumu endeleeni kudanganya
jamii
Na hizo ni chat alizoniandikia huyo mtoto wa vitoto
ambae ndio ilikuwa mara yangu ya kwanza
kumuona na sijawahi kumuona tena. . Zaidi ya
kuongea nae twitter ,,, sisemi kama mimi malaika
lakini Ukweli huwa hauchanganywi na uongo.
Kwa hili mmenidhalilisha sana
Kama nia yenu jamii inione mwanamke nisiefaa na
ninaependa dogodogo
Basi Mungu atawaonyesha ukuu wake
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >