Habari Kali
Loading...

MAIMATHA AMLIZA DAVINA....INASIKITISHA SANA...!! SOMA ZAIDI HAPA

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >
Ni shida! Mtangazaji maarufu Bongo, Maimartha Jesse ‘Mai’, hivi karibuni alimliza staa wa sinema za Kibongo, Halima Yahya ‘Davina’ baada ya kuchelewa kufika ukumbini akiwa MC (Master of Ceremony) kwenye shughuli ya mdogo wake (Davina).
Mtangazaji maarufu Bongo, Maimartha Jesse ‘Mai’.
Mpango mzima ulijiri wiki iliyopita nyumbani kwa Davina maeneo ya Mbezi Beach, Dar ambapo staa huyo alijikuta akihaha hadi alipojitokeza Eva wa Dude na kulianzisha.
Hata hivyo, nusu saa baadaye, Mai alitimba huku akimsindikiza bi harusi na kujitetea kuwa gari lake lilipata pancha barabarani.
Staa wa sinema za Kibongo, Halima Yahya ‘Davina’.
Baada ya Mai kuingia, Eva alimkabidhi ‘maiki’ kisha shughuli ikaendelea lakini baadaye ilionekana kuwa mkosi kwa Mai kwani shughuli ilipoisha, alilalamika kuibiwa redio ya gari lake ingawa haikujulikana kama iliibwa mahali hapo au alipopata pancha.
Pamoja na yote, shughuli ilipendeza na kuhudhuriwa na mastaa kibao wa mjini.

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top