Msiba! Bado bundi wa vifo anaendelea kung’ang’ania tasnia ya sinema za Kibongo kufuatia kifo cha ghafla cha msanii wa Bongo Muvi, Mariam Juma ‘MC Chimamy’ ambaye amefariki dunia ghafla baada ya kupatwa na kifafa cha mimba, ugonjwa uliomkuta muda mfupi kabla ya kujifungua.
Mauti hayo yalimkuta MC Chimamy wikiendi iliyopita baada ya kukimbizwa kwenye Hospitali ya Mwananyamala jijini Dar, akiwa tayari na hali mbaya kwani kabla ya hapo alianzia Hospitali ya Palestina, Sinza ambapo alilazimika kukimbizwa katika hospitali hiyo ya Wilaya ya Kinondoni ili kunusuru maisha yake na kiumbe alichokuwa nacho tumboni.
Msiba huo umezua simanzi kubwa kwa wasanii wenzake hasa Vanita Omary, Halima Yahya ‘Davina’, Yvonne-Chery Ngatwika ‘Monalisa’, Mariam Kakwaya na wengine kwani alikuwa ni mtu wao wa karibu na siku aliyokutwa na umauti alikuwa amepangwa kuwa mshereheshaji wa shughuli ya Davina ya kibao kata iliyofanyika Bamaga-Mwenge, Dar.
“Msiba huu umenishtua sana, sikutarajia kama Chimamy angetutoka kimchezo hivi, ukweli nimeumia sana na sina la kusema, namshukuru Mungu kwa kazi yake,” alisema Vanitha.
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >