Mimi ni binti wa miaka 23, nina ishi na wazazi wangu wote wawili, ni mtoto wa pili kuzaliwa kwenye familia yetu. Nilianza mahusiano ya kimapenzi nikiwa chuoni mwaka wangu wa kwanza na kijana mmoja aitwaye Erick, Nilitokea kumpenda sana kwani alikuwa ndio mwanaume wangu wa kwanza. Kwetu walimjua na hata kwao pia nilifahamika.
Nilikuwa na Erick mpaka nilipofika mwaka wa pili hapo chuoni Ambapo sasa tuliamua kukodi chumba kimoja na kuishi wote. Katika kipindi hichi niliona tabia za Erick hazieleweki anaweza kurudi usiku sana akiwa hajitambui na hata kulala tu chini mpaka asubuhi. Nilikuwa nikimshauri lakini alikuwa ni mgumu sana kunielewa.
Siku moja alirudi akiwa mzima majira ya saa kumi jioni hivi, kama sikosei ilikuwa ni siku ya ijumaa, tena mimi nilikuwa ndio natoka kwenye kipindi.
Alikuja siku hiyo akiwa na furaha sana huku akiwa na chupa mbili moja ya wine na nyingine ya amarula, Alizifungua zote nakuanza kunywa huku tukipiga story na kucheka, na mimi kwasababu pia nilikuwa nakunywa alini miminia natukawa tunakunywa wote, Nilipo anza kulewa alianza kunishawishi nivute sigara ambayo yeye alishaiwasha nakuanza kuivuta bila kusita nilichukua sigara na kuivuta kwakuwa nilimuamini sana Erick.
Muda si mrefu nilipata usingizi wa ajabu ambao ulinifanya nisitambue chochote kilichoendelea pale.
Kesho yake majira ya saa tano Asubuhi nilipata fahamu na kuamka, nilimuuliza Erick kilichotokea lakini hakunipa jibu lililo eleweka sikuwa na raha kabisa kwani nilitamani kupata ile raha tena, Nilishawishika kumuuliza erick kuhusu ile sigara. na yeye hakunijibu ila alinipa tu myingine akasema vuta hii hapa.
Huu ndio ulikuwa mwanzo wa kuharibu masomo yangu. Kumbe kipindi chote Erick alikuwa anatumia madawa ya kulevya akichanganya kwenye sigara. na akaona haitosha anipe na mimi.
Basi na mimi niliendelea na tabia hiyo hadi darasani nikawa siendi tena walimu walikuwa wananiulizia sana kwani nilikuwa kati ya wanafunzi wazuri sana darasani. Niliendelea na tabia hiyo hadi wazazi wangu walipokuja kujua na kunipeleka kwenye kituo cha waathirika wa madawa. Kipindi hicho Erick alikuwa amechanganyikiwa kabisa kwa madawa na chuo alisha acha yuko tu kwao
Nilikaa huko kwenye kituo hicho kwa muda wa miezi sita, nikiwa napata ushauri pamoja na dawa za kupunguza hamu ya madawa ya kulevya. Nashukuru sasa hivi niko nyumbani na ninaendelea vizuri.
NAWASHAURI WANAVYUO WAJARIBU SANA KUEPUKA VISHAWISHI VINAVYOWEZA KUHARIBU MAISHA YAO KWA UJUMLA
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >