Habari Kali
Loading...

SLIM: SITASAHAU WAKWE ZANGU WALIVYONIACHANISHA NA MKE WANGU!

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >
KAMA ilivyo kawaida ya safu hii ya Kiti cha Moto, wiki iliyopita tulimleta kwenu staa wa sinema za Kibongo, Salumu Mbegu ‘Slim’ ambapo mlituma maswali kibao ambayo wiki hii anayajibu na kuyadadavua. UNGANA NAYE…
Salumu Mbegu ‘Slim’.
WANAYE
Nakupongeza sana kwa kazi yako, watoto wako wanaitwa nani na nani? Zakia Ramadhani, Singida, 0762155709
SLIM: Asante, watoto wangu ni Shufaa na Sakina.
MPANGO WA KUOA TENA
Kwanza nakupa hongera kwa mafanikio uliyokuwa nayo katika sanaa lakini pia nakupa pole kwa kupoteza ndoa, je, una mpango wa kuoa tena na nini kilichokusababisha uachane na mkeo? Amiri Salumu, Dar, 0653252416
SLIM: Asante, mpango wa kuoa kwa kila binadamu upo na wakati ndiyo huu, sababu kubwa ya kuachana na mke wangu ni wazazi wake na yeye mwenyewe kutokuwa na msimamo. Sitasahau wakwe zangu walivyoniachanisha na mke wangu.
ELIMU
Kaka nakukubali sana, vipi kiwango chako cha elimu? Chia, Kibaha, 0653508471
SLIM: Nina elimu ya kidato cha nne na chuo cha filamu, nilisomea nchini Afrika Kusini.
MIAKA YA SANAA
Slim una miaka mingapi tangu ujitose kunako gemu la filamu Bongo na je, kwa nini umeamua kuachana na mkeo? Salim Liundi, Dar, 0659601205
SLIM: Kwenye masuala ya sanaa  niko kwa miaka kumi na tatu lakini kuigiza filamu huu ni mwaka  wa saba. Kuhusu mke nimeshaeleza hapo juu.
ASILI YAKE
Slim upo vizuri kwenye fani, hivi wewe kiasili ni Mwarabu au ni hizi krimu zetu tu na milo mizuri? Rocky, Moshi, 0715289337
SLIM: Mimi ni mchanganyiko wa Mwarabu na Mswahili.
‘Slim’ akiwa na Batuli.
URAFIKI
Nakukubali sana kaka Slim, naomba niwe rafiki yako wa kubadilishana mawazo. Irine, Dar, 0718485602
SLIM: Karibu sana.
AIGIZE NA GABO
Mimi nakukubali sana jamaa, natamani siku moja ucheze muvi na Gabo nakuaminia. Shebi, Mwandege, 0716641226
SLIM: Nafurahi sana kusikia hivyo asante, Gabo nimeigiza naye na nitaendelea kucheza naye filamu zinazofuata.
NJE YA FANI
Slim wewe ni msanii wa Bongo Muvi na upo vizuri kwenye kazi yako, nakupongeza sana ila tofauti na filamu unajishughulisha na nini au unafikiria kufanya nini hapo baadaye? Rachel Simon, Mbeya, 0766120552
SLIM: Nafanya biashara na nafikiria kuwa msanii wa filamu wa kimataifa zaidi.
KUUZA MAGAZETI
Kaka Slim umejikita kwenye ulimwengu wa filamu, vipi ile kazi yako ya kuuza magazeti nchi za nje umeacha? Euro, Dar, 0719192910
SLIM: Ahahaha…tobaaa magazeti gani nauza! Mimi nilikuwa nafanya biashara za kawaida tu za simu na laptop, sijawahi kufanya kazi ya kuuza magazeti japo ni kazi nzuri sana.
YEYE NA BATULI
Mimi nakukubali sana, vipi ulishawahi kutoka kimapenzi na Batuli? Msomaji, 0758589308
SLIM: Hapana.
UIGIZAJI
Eti Slim ulifikiria nini mpaka ukaingia kwenye kuigiza? Ramjane, 0713811864
SLIM: Nilishauriwa nikaufanyia kazi ushauri pia nilikuwa naipenda sana hii kazi.
MITINDO
Slim kabla ya uigizaji uliwahi kuwa mwanamitindo au mbunifu? Noel Kibere, Moshi, 0714300280
SLIM: Hapana, nilikuwa modo kwenye matangazo mbalimbali.
YEYE NA ANTI LULU
Namjua Slim alikuwa na uhusiano na Anti Lulu mpaka akagombana na Bond Bin Sinan (aliyekuwa mpenzi wa Anti Lulu). Prince, Dar, 0656438787
SLIM: Haijawahi kutokea mimi kugombana na Bond na sijawahi kutoka na Anti Lulu.

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top