MSANII wa Bongo Fleva, Steven William ‘RnB’ juzikati aliweka wazi kuwa anatarajia kuoa Oktoba 11, mwaka huu huku mwanamuziki mwenzake Elias Barnaba akieleza kuwa amemtolea mahari mzazi mwenzake, mama Steve na siku si nyingi atafunga ndoa.
Wakizungumza na Ijumaa kwa nyakati tofauti, wasanii hao kila mmoja ameonesha dhamira ya kuishi katika njia inayompendeza Mungu.“Nimeamua kuachana na maisha ya ukapera hivyo mwezi ujao natarajia kuhalalisha maisha ya ndoa na mchumba wangu Ester Emmanuel,” alisema Steve.
Naye Barnaba alisema: “Nimegundua hakuna mwanamke mwingine atakayenifaa zaidi ya mama Steve, nasema hivi kulingana na historia yetu tangu tunakutana hadi leo, kanivumilia sana na sasa ni vyema nikamfanya awe mke wangu halali.”
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >