Gari la polisi likiondoka na mwili wa kijana huyo.
Wanafunzi wa Sekondari ya Alfa James wakishuhudia mahali alipochomewa mtuhumiwa.
Raia wengine waliofika eneo la tukio.
Wanafunzi wa Sekondari ya Alfa James wakishuhudia mahali alipochomewa mtuhumiwa.
Raia wengine waliofika eneo la tukio.
KIJANA anayesadikiwa kuwa kibaka na ambaye hajafahamika jina lake, leo asubuhi amechomwa moto hadi kufa akidaiwa kuiba baiskeli maeneo ya Nane Nane mjini Morogoro, jirani na shule ya Sekondari ya Alfa James ambayo ni maarufu kama Shule ya Father Pekupeku.
”Majira ya saa moja asubuhi tumeona vijana wanne wakimfukuza mwenzao, walipofika hapa kwenye mabweni ya shule ya Alfa, wakamkamta akiwa na baiskeli na kumshushia kichapo kikali na baadaye wakamchoma moto wakidai alikuwa ameiba baiskeli yao maeneo ya Tubuyu, ” alisema shuhuda mmoja ambaye alijitambulisha kwa jina la Mama Happy.
Mtandao huu ulishuhudia kijana huyo akiendelea kuteketea kwa moto akituhumiwa kuiba baiskeli kuukuu yenye thamani ya shilingi 60,000. Polisi walifika na kuuchukua mwili huo na kuupeleka Hospital ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro.
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >