Diamond Platinumz ameonesha jinsi ambavyo penzi lake na Wema Sepetu linazidi kuimarika tofauti na habari zilizokuwa zimesambaa kwenye magazeti hivi karibuni.
Mdogomdogo Diamond amemzawadia kichuna wake gari jipya aina ya Nissan Morano kama zawadi ya birthday.
Mwimbaji buyo alishare picha ya gari hilo kwenye Instagram na kumuandikia ujumbe mtamu mrembo wake aliyekuwa miss Tanzania 2006.
“Nlitama nikupe vingi, wenda ingenisaidia kueleza ni kias gani napenda nikuone ukifurahi kwenye siku yako hii ya kuzaliwa...lakini tu sina uwezo huo mumy😟... tafadhari pokea kidogo hichi nlichojaaliwa leo...”
Wema Sepetu ana kila sababu ya kuikumbaka sana siku hiyo kwa kuwa mbali na zawadi ya Nissan Morano toka kwa mpenzi wake Chibu Dangote, alipata pia zawadi ya BMW nyeupe.
Katika hatua nyingine, Diamond alitumia siku hiyo kusafisha anga kwa tetesi zilizosambazwa na baadhi ya magazeti kuwa wawili hao wana mpango wa kuachana na wanategeana nani aanze.
“Laiti kama Maneno yangelikuwa ni sumu basi amini, Penzi letu lingekuwa lishazikwa na Kuoza...Maana sjui ni kipi hakijazungumzwa.....vya furaha, Chuki, shangwe, fitina, Vita, majungu, Misukosuko na mabalaa ya kila aina....lakini siku zote tumekuwa tukipendana na kuthaminiana kama tumeanzana jana, kwakuwa tulijua si kosa lao, ni hawajui tu niwapi tulipotokea...to the world, you may be one person...
"But to me, you are the world, My Beautiful World...na kama kukupenda ni uwendaazimu basi ni bora Nikabaki kwenye uchizi wangu kuliko kupata Ufahamu....i may not be physically present to stand by you while you cut your cake, but you’ll be in my thoughts the whole day! Happy birthday Darling....mmeo niko nahangaika, bt i will be coming home soon....Love you mama…”

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >