Pamechimbika! Staa wa sinema za Kibongo, Aisha Bui amezua timbwili la kufa mtu katika ofisi za kusambaza filamu za Yuneda zilizopo Mbagala jijini Dar baada ya wasambazi hao kushindwa kumlipa kwa wakati.
Staa wa sinema za Kibongo, Aisha Bui akiwaka kwa mmoja wa wahusika wa ofisi za kusambaza filamu za Yuneda, Mbagala.
Mtiti huo ulioshuhudiwa na wanahabari wetu ulijiri wikiendi iliyopita, maeneo hayo ya Mbagala ambapo Aisha aliongozana na shemeji yake katika ofisi hizo na kuibua tafrani kubwa iliyokusanya kadamnasi na kufunga mtaa kwa muda.
Kwa mujibu wa Aisha, amekuwa akitimba kwenye ofisi hizo mara kwa mara akiomba alipwe chake lakini amekuwa akipigwa kalenda tangu Aprili, mwaka huu. Aisha alilifungukia Ijumaa Wikienda kwamba, kuna siku mkurugenzi wa kampuni hiyo aitwaye Ngeze alimwita ofisini kwake ili kumlipa lakini alipofika alimpa kiasi cha shilingi milioni mbili na nusu, jambo ambalo lilikuwa kinyume na makubaliano.
“Filamu yenyewe nimeigiza kabla sijajifungua hadi mtoto wangu sasa ana miezi sita. Kama mtu ndiyo unategemea fedha za filamu yako ndiyo uendeshee maisha, halafu mtu halipi, sasa utaishije?
Staa huyo alisema alikuwa akimpigia simu mara kwa mara mwisho mkurugenzi huyo aliamua ‘kum-block’ kwenye simu hivyo akawa amekosa mawasiliano naye.
Staa huyo alisema alikuwa akimpigia simu mara kwa mara mwisho mkurugenzi huyo aliamua ‘kum-block’ kwenye simu hivyo akawa amekosa mawasiliano naye.
Aisha alipofika ofisini hapo alishikwa na ghadhabu baada mhasibu wa kampuni hiyo kumwambia hakuwa na namba ya bosi wake wakati alijua akifika tu angepewa fedha hizo hivyo akashikana naye mashati na kuanza kuzipiga ambapo Aisha alisukumwa akadondoka pwaa!
Kitendo cha kusukumwa, kilimpandisha hasira Aisha na kuamua kuchukua jiwe ambalo lilishindwa kufungua mlango hivyo alichukua nondo na kuvunja mlango huo ambapo wafanyakazi walijifungia kwa ndani ili kumzuia asiingie ndani.
Wanahabari wetu walipomfuata Ngeze kujua kulikoni kumtia mbaroni Aisha alisema alivamiwa na staa huyo na mabaunsa ambao walivunja ofisi pamoja na kushukua ‘laptop’ na fedha.
Hadi gazeti hili linaondoka eneo hilo, Aisha na shemeji yake walikuwa bado wameshikiliwa na Polisi wa Kituo cha Maturubai, Mbagala.
Hadi gazeti hili linaondoka eneo hilo, Aisha na shemeji yake walikuwa bado wameshikiliwa na Polisi wa Kituo cha Maturubai, Mbagala.
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >