Staa mkubwa wa Muziki wa Gospel Bongo, Bahati Lusako Bukuku anadaiwa kulizwa baada ya ‘rumansi’ kuenea kwamba mumewe, Daniel Basila ‘Dany’ anataka kuuza nyumba yao.
Habari kutoka kwa chanzo chetu makini, madai ya mumewe kutaka kuuza nyumba yao iliyopo Mbezi-Salasala jijini Dar, yaliibuka hivi karibuni huku Bahati akiwa hajui mchezo unaoendelea.
Ilisemekana kwamba nyumba hiyo ilijengwa na wawili hao wakati wa uhai wa ndoa yao kabla ya kutengana miaka kadhaa iliyopita ambapo Bahati alimwachia Dany nyumba hiyo.
Baada ya kunyetishiwa ‘ubuyu’ huo, gazeti hili lilimtafuta Bahati ambaye alisema hajui chochote hivyo aulizwe mumewe.
Jitihada za kumpata Dany hazikuzaa matunda kwani simu yake ya kiganjani iliita bila kupokelewa na hata alipotumiwa ujumbe mfupi (sms) hakujibu pamoja na kwamba ilionesha kupokelewa (delivered).
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >