Habari Kali
Loading...

BAD NEWS: MITUMBWI ILIOKUWA NA WATU 70 YAZAMA NA KUUA WATU ZAIDI YA KUMI WALIOKUWA WAKIENDA KWENYE HARUSI KIGOMA

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >
bibi harusiBibi harusi Mariamu mduwa aliyenusurika kifo katika ajali ya mitumbwi katika kijiji cha kalalangabo akiwa naendelea na matibabu katika hospital ya  mkoa wa Kigoma
Waokoaji mbalimbali wakijindaa kwenda katika eneo ilipotokea ajali ya mitumbwi iliyobeba harusi kutoka kigoma mjini kwenda katika kijiji cha Kigalya kutafuta miili ya marehemu ambayo bado haijapatikana

Na Editha Karlo,Kigoma
WATU sita wamekufa maji katika ziwa Tanganyika na wengine kumi na moja kunusurika kifo akiwemo bwana harusi Shaaban Idd na bibi harusi Mariamu Mduwa baada ya mitumbwi miwili  waliyo kuwa wakisafiria kutoka kigoma mjini kwenda katika kijiji Kigalye kilichopo mwambao mwa ziwa Tanganyika kuzama ziwani.
Tukio hilo limetokea leo saa nane na nusu mchana baada ya mitumbwi hiyo kupigwa wimbi kali na kuzama  katika kijiji cha Kalalangabo wakati bwana harusi huyo akitoka kuoa katika eneo la mwandiga na kurudi nyumbani akiwa na ndugu na jamaa pamoja na wapambe.
Akiongea na mtandao huu katika wodu namba 5 katika Hospital ya Mkoa wa Kigoma alipolazwa bibi harusi huyo alisema kuwa alishikwa na bumbuwazi sana baada ya tukio hilo kwani mpaka sasa bado hajielewi.
”Sikumbuki kitu kwani baada ya mtumbwi kuzama kila mtu alikuwa anahangaika kujiokoa na kifo,kwakweli mimi naona kama mkosi siku ya harusi yangu watu wanakufa ila namshukuru mungu kwa kutunusuru na kifo na yote mimi nimemwachia mungu”alisema bibi harusi huyo
Muhanga mwingine aliyenusurika katika ajali hiyo Zabibu Issa alisema kuwa mitumbwi waliyokuwa wamepanda ilikuwa imejaza sana watu na mizigo ndiyo maana ilizidiwa uzito na kuzama baada ya kupigwa na wimbi.

”Safari ya kwenda kijijini kwetu lazima tupite njia za majini hakuna barabra kabisa sababu vijiji tunavyoishi vipo mwambao mwa ziwa Tanganyika kungekuwa na barabara tungepita barabrani”alisema Mhanga huyo

Naye muuguzi wa wodi namba tano walipolazwa majeruhi hao alisema kuwa wamejuhi wote waliopo wodini hali zao zinaendelea vizuri na mpaka sasa wameshapokea jumla ya maiti sita.

Kamanda wa polisi wa Mkoa wa Kigoma Jafari Mohamed alisema kuwa mpaka sasa jumla ya watu 27 wameshaokolewa,na miili sita kuopolewa pamoja na walionusurika 11,lakini bado inahofiwa kuwa kuna miili mingine zaidi ambao bado haijapatikana kwani mitumbwi hiyo inakadiriwa kuwa ilikuwa na watu zaidi ya sabini.

Alisema vikosi vya ukoaji kwa kushirikiana na askari wa jeshi la wananchi vinaendelea na kazi

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top