Mchana wa saa tisa October 10 2014 Baba Levo ambae ni msanii wa bongofleva aliipigia simu millardayo.com na kutoa taarifa za ajali aliyoipata saa saba mchana akitokea Tabora kuelekea Mpanda ambako alikua anakwenda kwa ajili ya kutumbuiza.
Baba Levo anasema alizitoa hizo taarifa saa tisa mchana sababu ndio aliweza kupata angalau network ya mtandao wa simu kwani kwa saa mbili zilizopita alishindwa kupiga simu baada ya kupata ajali porini kutokana na uzembe wa dereva wa Coaster aliehama upande wake na kuhamia upande wa pili kukwepa barabara mbovu.
Kina Baba Levo walikua kwenye Basi kubwa lililogongana uso kwa uso na Coaster hii ambapo Baba Levo alikua amekaa pale mbele pembeni kabisa ya dereva kwenye kile kigodoro ambapo msanii huyu ilibidi akae hapo sababu kiti chake kiliuzwa ticket kwa watu wawili hivyo aliamua kuiachia siti yake kwa mama wa Kiarabu baada ya kujikuta wote wamepangwa siti moja.
Baba Levo anasema japo taarifa za vifo hazijathibitishwa, kuna watu kama Wanne ambao aliwaona wamepoteza maisha kwenye eneo la ajali kwa kupasuka vichwa na viungo muhimu vya mwili.
Baada ya ajali hii kutokea, dakika zaidi ya 150 baadae ndio walipata msaada na Baba Levo kwenda Hospitali kucheki afya yake ambapo alisafishwa vidonda alivyoumizwa na vioo vilivyomrukia mwilini kama inavyoonekana kwenye picha za hili basi hapa chini.
Chanzo: Millardayo
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >