MKURUGENZI wa bendi ya Extra Bongo, Ali Choki amepata pigo la kuondokewa na mke wake, Shuea Hamis ‘Mama Shuu’ baada ya kuugua kwa muda mrefu Usiku wa kuamkia leo.
Akizungumza kwa masikitiko Ali Choki alisema mke wake ameugua kwa muda wa miezi tisa akiwa anasumbuliwa na mguu ambapo alitibiwa nchini India ikashindikana akarudishwa nyumbani mpaka mauti yalipomfika usiku wa kuamkia Jumamosi iliyopita.
“Ukweli nimeumia kwani mke wangu ndiye aliyekuwa mshauri wangu mkuu na ndiye kila kitu kwangu alikuwa akinisapoti kwenye kazi yangu ya muziki lakini ndiyo hivyo Mungu amempenda zaidi sina la kufanya,”alisema Ali Choki.
Aidha Choki alisema mipango ya mazishi ilifanyika nyumbani kwao Tuangoma Kigamboni na mazishi ya mkewe yatafanyika siku ya kesho saa kumi jioni katika makaburi ya Chang’ombe Madukamawili.
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >