MKONGWE wa filamu kitambo, Sabrina Rupia ‘Cathy’ amesema kuwa jina analotumia katika sanaa lina mkosi hivyo yuko kwenye mkakati wa kulibadilisha na kujipa jina lingine labda linaweza kumkaa vizuri.
Akizungumza na mwandishi wetu, Cathy alisema anaona jina hilo lina mkosi kwa sababu linazungumzwa vibaya na baadhi ya wasanii wenzake hata kama kuna kitu ambacho hakijui ni lazima lihusishwe jina lake kitu ambacho anakiona kama jina hilo lina nuksi.
“Unajua naona jina hili lina mkosi kwa sababu kitu kifanyika labda mimi nimepita tu basi litatajwa jina langu kitu ambacho mimi sikipendi na kuona labda lina matatizo jamani, haliko sawa kuendelea kuwa nalo,” alisema Cathy huku akidai yuko katika mikakati ya kutafuta jina lingine zuri ambalo anaona linamfaa. zaidi.
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >