Habari Kali
Loading...

‘CHUMBA KILISHIKA MOTO NIKIWA USINGIZINI!’

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >
MWANAUME mmoja aitwaye Amani Mhegere (45) mkazi wa Yombo jijini Dar es Salaam, Julai 18, mwaka huu alinusurika kufa kwa moto baada ya nyumba yake kuanza kuungua akiwa usingizini.
Bw. Amani Mhegere (45) aliyenusurika kufa kwa moto baada ya nyumba yake kuanza kuungua akiwa usingizini.
Akizungumza na gazeti hili akiwa amelazwa katika wodi namba 23 iliyopo kwenye Jengo la Sewa Haji, Hospitali ya Taifa Muhimbili, Mhegere alisema kama siyo majirani waliouona moto huo na kumwamsha kwa kumwagia maji kupitia dirishani, angekufa.
“Siku hiyo nililala mapema na kupitiwa na usingizi, majira ya saa tatu usiku majirani waliona nyumba niliyolala inaungua moto, walikuja hadi dirishani na kuchungulia, wakaniona nimelala kitandani, walinigongea mlango lakini sikusikia hali iliyowafanya wachukue maji kwenye ndoo na kunimwagia, nikashituka.
“Nilipoona moto nikakurupuka na kukimbilia mlangoni lakini kutokana chumba chote kutanda moshi sikuweza kuuona mlango.
“Kwa kutambua hatari iliyokuwa mbele yangu, nikapata ujasiri, huku nguo niliyokuwa nimevaa ikiwa imeshika moto nilifungua mlango na kufanikiwa kutoka ndani na kwenda kujilaza kwenye mchanga.
“Nikiwa nagalagala chini, majirani zangu walinimwagia maji na kufanikiwa kuuzima.
“Siku hiyo nilikuwa peke yangu, watoto na mke wangu aliyekuwa mjamzito hawakuwepo nyumbani, alikuwa amekwenda kwao Iringa kujifungua.
Muonekano wa karibu wa Bw. Amani Mhegere.
Moto huo ulianzia chumbani kwangu baada ya kusahau kuzima mshumaa. Baada ya tukio hilo, majirani walitafuta gari na kunileta hapa hospitalini, kwa kweli ninawashukuru sana kwa ujasiri wao vinginevyo hivi sasa ningekuwa naitwa marehemu.
“Mbali na kunifikisha hapa lakini wamekuwa wakija kunijulia hali jambo linalonifanya nifarijike sana.
“Namshukuru sana mke wangu, kwani baada ya kupata taarifa alikuja kuniona huku akiwa na mtoto wetu aliyejifungua hivi karibuni.
“Ni vigumu kuamini kama leo hii ningekuwa hai kutokana na hali ilivyokua, kwa sasa naendelea vizuri kidogo tofauti na nilivyoletwa, nawashukuru wahudumu na madaktari kwa kunipatia huduma nzuri,” alisema Mhegere.

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top