Kama mambo yangeenda yalivyokuwa yamepangwa, baada ya Ramadhan, Wema Sepetu angekuwa akiitwa Wema Naseeb! Lakini kutokana na sababu mbalimbali Diamond Platnumz alisogeza mbele mipango ya kufunga ndoa na mpenzi wake huyo.
“Kabla ya Ramadhan ilikuwa tufunge ndoa kabisa, lakini mambo
yakaingiliana,” Diamond alikiambia kipindi cha The Sporah Show.
“Mtoto naye ni majaliwa sio kama sitaki, hajanipangia bado. Nataka sana sana lakini siwezi sema sana kwa sababu unajua kuzaa pia ni makubaliano na wewe na mpenzi wako.
"Labda pia mwenyezi Mungu hajataka haujafika wakati muafaka. Kuna vitu fulani tunaviweka sawa ili tuwe safe zaidi na hata tukizaa isiwe wazazi wangu au wazazi wake wakajisikia vibaya,” aliongeza.

Katika hatua nyingine, Diamond alisema hajamtenga baba yake kama inavyoandikwa kwenye magazeti ya udaku.
“Mzee Abdul sina matatizo naye baba yangu, bahati mbaya sikubahatika
kukaa naye sana,” alisema Diamond.
“Sometimes naendaga kwao sio mara kwa mara. Unajua vingi vya uongo na wanaandika vingi, sema sikubahatika kukaa na baba yangu sana ndio maana sikuweza kujua yeye na mama yangu wana matatizo gani”
“Sometimes naendaga kwao sio mara kwa mara. Unajua vingi vya uongo na wanaandika vingi, sema sikubahatika kukaa na baba yangu sana ndio maana sikuweza kujua yeye na mama yangu wana matatizo gani”
"So nilivyokua nikaona mzee wangu hakunisaidia mpaka nakua ni kimpango
wangu. Nimetoka lakini nikaona haiwezi kusaidia kitu nilivyokuwa nakaa
sometimes ninaweza nikaenda, lakini haiwezi kuwa sawa na mama yangu.
Watu wanajaribu kutengeneza kwasababu wananiona nipo karibu sana na
mama, wakiona niko karibu na mama na wakipima ukaribu wangu na baba
unaonekana ukaribu wa mama ni mkubwa sana,” alisisitiza.
“Sasa inakuwa ni ngumu kwa sababu nimeshamzoea mama yangu. Sema kwa
sasa nina muda sana sijaonana naye kiukweli na muda mrefu sijaenda na
nini.
"Lakini kila siku nikikaa na mama yangu ananiambia ‘msamehe yule ni baba yako’ Sometimes anadhani mimi bado nina kinyongo. Mama yangu ni mtu ambaye ananisihi sana ananiambia ‘nenda kwa baba yako usifanye hivyo kama vitu vilitokea na vimeshapita’,’ Nimeshamsemehe.”

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >